Kwamba unaenda kuokota data hapa unakuja simama nazo kama hoja ya kupinga jambo ?? forum ambayo ni user generated kama Jamii forum , unakuta mtu kama "Zero IQ" kashusha mambo yake unayabeba unaenda fanya reference ...Tunaposema washabiki sio nyie wapiga kelele mitandaoni bali wenye uanachama kabisa. Sasa Man city ilikua na washabiki chini ya 10 million kufikia 2010 ila mpaka sasa wamesajili zaidi ya mashabiki million 100 duniani sasa unaweza niambia hao washabiki wapya wametokea wapi? Au walikua wanashabikia Cricket na Golf?
Pia Washabiki sio kujaza uwanja mfano chelsea kuna kipindi ilisajili mashabiki mamilion kutoka China ila wanakujaga wote stamford bridge?
Espanyol imemsajili Wu Lei kahamia hapo na washabiki mamilion wa kichina ila bado uwanja haujai sababi sio mashabiki wote wapo spain kumuangalia ila mauzo ya jezi na kadi za uanachama yameongezeka.
Sasa swali langu ni hili kama washabiki hawahami nisaidie hao wa Man city wametokea wapi na naomba unieleze wale washabiki zaidi ya million 30 wa Leeds leo hii wako wapi??
Naomba uje na data sio kelele
Liverpool fans mna arrogance!! Trophyless EPL kwa miaka 30 then mnajikuta mna expect much?
Suarez aliwakimbia sababu hampo UCL so did Top class players waligoma kuja hapo then mnajiboast hvi mtadhani ni top class team.
Liverpool ni average british team iliokua na msimu mzuri kma Leicester 2015 ama spurs last season, na thanks to Allah kutolewa UCL hii na Atletico imewakata jeuri yote!!
Hope next season mrudi mlipotoka three seasons ago!!
Mkuu Liverpool imevuka round of 16 mara 3 pekee last decade hapo acha misimu 6 hamjashiriki UCL kabisa yaani kabisa sasa mpka hapo ushiriki wenu ni mdogo sana kuliko City.Hii ni Liverpool na Manchester City ushiriki wake wa mashindano ya Ulaya last decade..
Liverpool imecheza misimu 7.. Manchester city misimu 8
Liverpool ni bingwa na kacheza final 3 mfulilizo along the way
City mafanikio yake makubwa ni nusu final moja tu , safari yake it's either round of 16 au group stage... misimu hii miwil ambayo Liverpool yote kafika final wao wameishia robo
iwe domestic au Ulaya.. city yuko miles away kutoka Liverpool alipo , na huenda asifike hapo kabisa
View attachment 1403717View attachment 1403719View attachment 1403720
Sent using Jamii Forums mobile app
Data nimetoa kwa gazeti kabisa unless nalo halipo credible kwako!!Kwamba unaenda kuokota data hapa unakuja simama nazo kama hoja ya kupinga jambo ?? forum ambayo ni user generated kama Jamii forum , unakuta mtu kama "Zero IQ" kashusha mambo yake unayabeba unaenda fanya reference ...
Labda nikusaidie namba ya kujua idadi ya mashabiki na ukuaji wa Brand ya club
1. Mauzo ya Jersey na mapato yatokanayo na mauzo hayo
2. idadi ya watazamaji wa mechi zinazo husu club husika
3. Social media interactions
4. Wachezaji wanao ongoza kuuza jersey zao .. top ten club inaingiza wangapi ?
ndio maana leo utashangaa Neymar anazidiwa na Nemanja matic , ni kwasababu ya fanbase ya clubView attachment 1403725
Sent using Jamii Forums mobile app
JuveUkiacha Barca na Madrid, ni timu kubwa ipi nyingine inayoweza kumchukua VVD kutoka Liverpool?
Atletico nmeipenda sababu ya fighting spirit tokea kipindi cha kocha Javier Aguirre, average players ila wanajituma sana hyo tokea 2008.Labda nikuulize kitu mkuu, ni kitu gani kilikufanya uhamie Atletico?
Na ulihamia mwaka gani?
Je, kama El Cholo akiondoka, unajiona ukiwa mshabiki wa team gani baadae?
Atletico nmeipenda sababu ya fighting spirit tokea kipindi cha kocha Javier Aguirre, average players ila wanajituma sana hyo tokea 2008.
Ila nimehamia miguu yote miwili hapo 2012/13 season maana kujituma kwao ni opposite kabisa na Arsenal waliokua hawajitumi vile.
El cholo akiondoka ntabaki Atletico maana nimeipenda tokea kipindi cha kina Simao,maxi Rodriguez, Aguero na Forlan. Otherwise siioni Atletico bila ya El Cholo ndio DNA ya timu na hata aina ya uchezaji ni ya El Cholo yuleyule wa 1990s.
Nishasema huko juu mimi ni Shabiki wa Manchester United, niko hapa kukutoa ujinga tu na sii vinginevyoMkuu Liverpool imevuka round of 16 mara 3 pekee last decade hapo acha misimu 6 hamjashiriki UCL kabisa yaani kabisa sasa mpka hapo ushiriki wenu ni mdogo sana kuliko City.
Then last decade Man City ana makombe 10 then wewe mna mangapi mkuu?? Na usintaji club world cup na super cup ambavyo ni bonanza tu. Mtajikuta mna kombe moja pekee.
Na nimeshakueleza timu kufika UCL tu ni achievement kwa timu yeyote ile maana kuna faida nyingi sana hasa mapato na umaarufu na kuvutia top players hivyo huwezi kubeza mtu kushiriki UCL.
Na nimeweka hoja hapa Man City imekua zaidi kuliko liverpool baada ya kuongeza mashabiki zaidi ya Million 70 ndani ya miaka 5 iliopita sasa bila hizo UCL wangepata hyo coverage??
Anyway Man City wana makombe 10 naomba unitajie ya Liverpool.
Ataenda Manchester United nayo si timu kubwa Mkuu.
Kumbe mshabiki wa ile timu ilojifia? 🤣 🤣 🤣 ndio maana basi hata data umeshindwa kuja nazo.Nishasema huko juu mimi ni Shabiki wa Manchester United, niko hapa kukutoa ujinga tu na sii vinginevyo
Umeanza uefa mara unarukia ligi mara unarukia idadi sijui ya nini .. huna msimamo kwenye mada yeyote ... huna uwezo wa kujenga wala kujadili hoja yeyote, unarukaruka kama watoto wadogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahah Mkuu kwa nini kila point yako unayosema imebase NDANI YA MIAKA 10 iliyopita tujadili vitu in General, Mbona kuanzia mwaka 2008 kurudi nyuma mbona hugusii kwa sababu walikua hawana Archive .Mkuu Liverpool imevuka round of 16 mara 3 pekee last decade hapo acha misimu 6 hamjashiriki UCL kabisa yaani kabisa sasa mpka hapo ushiriki wenu ni mdogo sana kuliko City.
Then last decade Man City ana makombe 10 then wewe mna mangapi mkuu?? Na usintaji club world cup na super cup ambavyo ni bonanza tu. Mtajikuta mna kombe moja pekee.
Na nimeshakueleza timu kufika UCL tu ni achievement kwa timu yeyote ile maana kuna faida nyingi sana hasa mapato na umaarufu na kuvutia top players hivyo huwezi kubeza mtu kushiriki UCL.
Na nimeweka hoja hapa Man City imekua zaidi kuliko liverpool baada ya kuongeza mashabiki zaidi ya Million 70 ndani ya miaka 5 iliopita sasa bila hizo UCL wangepata hyo coverage??
Anyway Man City wana makombe 10 naomba unitajie ya Liverpool.
Mkuu Liverpool imevuka round of 16 mara 3 pekee last decade hapo acha misimu 6 hamjashiriki UCL kabisa yaani kabisa sasa mpka hapo ushiriki wenu ni mdogo sana kuliko City.
Then last decade Man City ana makombe 10 then wewe mna mangapi mkuu?? Na usintaji club world cup na super cup ambavyo ni bonanza tu. Mtajikuta mna kombe moja pekee.
Na nimeshakueleza timu kufika UCL tu ni achievement kwa timu yeyote ile maana kuna faida nyingi sana hasa mapato na umaarufu na kuvutia top players hivyo huwezi kubeza mtu kushiriki UCL.
Na nimeweka hoja hapa Man City imekua zaidi kuliko liverpool baada ya kuongeza mashabiki zaidi ya Million 70 ndani ya miaka 5 iliopita sasa bila hizo UCL wangepata hyo coverage??
Anyway Man City wana makombe 10 naomba unitajie ya Liverpool.
2001 Uefa cupMkuu Liverpool imevuka round of 16 mara 3 pekee last decade hapo acha misimu 6 hamjashiriki UCL kabisa yaani kabisa sasa mpka hapo ushiriki wenu ni mdogo sana kuliko City.
Then last decade Man City ana makombe 10 then wewe mna mangapi mkuu?? Na usintaji club world cup na super cup ambavyo ni bonanza tu. Mtajikuta mna kombe moja pekee.
Na nimeshakueleza timu kufika UCL tu ni achievement kwa timu yeyote ile maana kuna faida nyingi sana hasa mapato na umaarufu na kuvutia top players hivyo huwezi kubeza mtu kushiriki UCL.
Na nimeweka hoja hapa Man City imekua zaidi kuliko liverpool baada ya kuongeza mashabiki zaidi ya Million 70 ndani ya miaka 5 iliopita sasa bila hizo UCL wangepata hyo coverage??
Anyway Man City wana makombe 10 naomba unitajie ya Liverpool.
Haaahaaa mkuu nimechekaa sana!!Washabiki tuko aina tofauti tofauti mkuu, ninaweza kukuelewa.
Kuna wale ambao hatupendi presha, tunaamua kuchagua timu ambazo hazina presha pia, kwamba tufungwe ni kawaida, tukishinda ni faida (taking conservative approach). Na hii ndiyo style wewe unayoitumia.
Arsenal na Atletico wote ni wa aina ambayo kwenye Mission yao si kuwa timu bora kwenye ligi zao wala Ulaya, isipokuwa ni ushiriki madhubuti, more of a pretender not contender.
Man Utd, Liverpool, Real Madrid, Barca, Bayern na Juventus ni baadhi ya team ambazo kuwa namba mbili ni failure na watafanya kila wanachoweza kutafuta suluhu ili kurudi juu.
Mkuu jifunze kwanza kuandika naona kipigo cha Atletico bado kimekuchanganya akili!!Halafu huyu kilaza hajui malengo ya wachezaji/mashabiki ni tofauti na wamiliki timu.
Wachezaji na mashabiki malengo yao ni MAFANIKIO AKA MAKOMBE
Wamiliki wa timu kwao ni PESA.
Sasa nakushangaa wewe shabiki unayeshangili eti ATM iko CL kila msimu bila ya Kombe ukafananishe na Liverpool.
Ndo maana sisi tutafukuza kocha tukiona hatupi mashabiki tunachotaka.
ATM ni masikini ndo maana wameridhika na simeona aweke basi ili tu wawe CL kila msimu. Ni kama Alivyowaaminisha mashabiki wa arsenal alipowaambia kuwa " eti kushiriki CL pia ni kombe" BUT WALIPOAMKA USINGIZINI WANAONA CHELSEA MAJIRANI WANA NDOO YA CL WAKAMFUKUZA....EMERY WAKAMFUKUZA COz wanataka KOMBE.
SUAREZ HAKWENDA BARCA KUSHIRIKI CL BALI KUCHUKUA
HENRY ALISEMA NAENDA BARCA KUCHUKUA CL SABABU ARSENAL SIWEZI KUPATA MAANA WAO CL KUASHIRIKI NDO MAFANIKIO
NA ALIPOLIPATA CHOZI LIKAMTOKA KWA FURAHA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu ndio decade ambapo timu ilipaa anyway hata tukimix na kuanza 21st century bado wanawazidi makombe kwa mbali sana.Hahahahahahahahah Mkuu kwa nini kila point yako unayosema imebase NDANI YA MIAKA 10 iliyopita tujadili vitu in General, Mbona kuanzia mwaka 2008 kurudi nyuma mbona hugusii kwa sababu walikua hawana Archive .