Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mwenye bahati habaatishi hili la liver n wape pole tuu na msimu ujao unavyoonekana utakuwa mgumu niwape pole Majogoo wa sokoni Yan n kuliwa tuu

Jogoo limekupanda msimu huu, limekupanda msimu uliopita. Acha msimu ujao lipumzike kukupanda, maana huna utamu tena. Linaacha wengine nao wakule.
 
Nyie liverkuku mna gundu mkaoge bahari ya hindi, alhamisi wakuu wa FA/Club wanakutana kupiga kura mapendekezo kadhaa either ligi ifutwe pasiwe na bingwa au nini kifanyike, sasa mnafikiri kwenye kura si jogoo atachinjwa nani anawataka ninyi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Hapo jogoo lazima aliwe sema ndo hatujaamua tumle Kama supu, tumkaange na mafuta yake mwenyewe au ya kitimoto au numuunge na Nazi tumle usiku na wali.

Ndo najiuliza
 
Yesterday I saw Manure Fanboy n he told me the FA must declare EPL null and void! Si ninajuwa kuwa jamaa ni Fan wa Simba SC kuna Fanboy wa Vyura FC akamwambia VPL must be cancelled and next season tuanze upya!
Ah jamaa wa Manure alitaka kupigana huyo πŸ˜€πŸ˜€
Anasema Ligi lazima iendelee ili Simba awe bingwa kwani Simba yupo karibu na kutwaa ubingwa πŸ˜€πŸ˜€

But at the sametime mshabiki huyu anaetaka Ligi ya Tanzania iendelee ili Simba awe bingwa! Ndiye huyuhuyu anayetaka EPL ifutwe kwasababu ya Corona πŸ˜€πŸ˜€

Ujinga ni kitu kibaya sana!
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona kama povu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huku bongo hakuna Corona mzee, taja hapa kocha au mchezaji wa kibongo mwenye Corona????

ila EPL ifutwe tu maana wachezaji na makocha wanayo Corona,
haha[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji12]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa imefutwa.
huu ni ushabiki tu mzee na utani wa hapa na pale ila kiuhalisia yawapasa mpewe kombe lenu hakika hiyo wala haina ubishi,
.
Na hongereni kwa kukaribia kuchukua hili taji kwa mara ya kwanza tangu lianzishwe.... [emoji2187][emoji2187][emoji2187][emoji2187]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Shukrani bro, mimi nakwelewa mwana HALISI, sina wasiwasi na u-HALISI wako kabisa.

Ushabiki bila utani hainogi.
 
"Mara ya kwanza tangu lianzishwe." - hapa unamaanisha nini? Sema mara ya kwanza tangu libadilishwe jina sio lianzishwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa kwa maneno yako ya khanga yale hata kama unatumia akili ya kawaida tu yanahitaji hoja gani kujibu?

sasa kama ligi isipofutwa inamaana mechi zitaendelea kuchezwa,sasa kwa kuangalia tu msimamo ulivyo una haja gani ya kuandika hicho ulichoandika?maana mkanganyiko haupo katika nafasi ya kwanza/anayeongoza ligi,kwasababu kawaacha mbali sana wale wanaomfata nyuma,mkanganyiko upo katika timu zilizopo katika nafasi za kati na zille ambazo zipo katika ukanda wa kushuka daraja maana lolote laweza kutokea.....na hilo limekuja kwasababu hawajaachana kwa alama nyingi kila mmoja anaweza kumfikia mwingine,

chukua table ya ligi tuliza kichwa na uiangalie kwa makini uone kama Arsenal haina nafasi hiyo unayosema .....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…