Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kisicho riziki hakiliki.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
spain raisi wa chama cha soka huko anasema Lazima ligi yao imalizike yote!.... nadhani hapa uefa ndio watakaoahirisha/katisha mashindano yao ili kuzipa nafasi ligi za ndani.....

ligi nyingi bado mechi 10 hivi kuisha, wakiweka jumamos na jumatano then ndani ya mwezi ligi zimeisha!
 
Leo asubuhi nimegundua kuwa mgonjwa wa Corona wa Mount Meru ni Rafiki yangu wa karibu,
Alitoka nje kutembelea family friend kumbe baba wa hiyo familia alikuwa na virusi.
Anadai alihisi ameupata tangu akiwa kwenye ndege na alipofika Arusha alienda hotelini moja kwa moja wala hakutaka kwenda kwake na ni karibu tu hapa mjini. Asubuhi ya jana akaamua kujipeleka Mt. Meru Hospital kupimwa na ndipo wakamkuta ana virusi.
Anadai huu ugonjwa umekuzwa sana kwa sababu yeye anajisikia vizuri anachosubiri ni hayo mafua yaishe ili arudi nyumbani kwake
Watanzania tusihofu haya ni mafua ya kawaida lakini yanashambulia mapafu na kusababisha Neumonia na sio kwa watu wote, ni baadhi, wachache tu wanapata Neumonia na akichelewa kutibiwa anaweza fariki kwa sababu Neumonia inaua
Ukijisikia una dalili za hayo mafua, nenda ukapimwe na utibiwe Neumonia kama imekuingia, otherwise huu ni ugonjwa wa mafua ya kawaida tu
Imekuzwa sana kwa sababu imepitia kwa wazungu wenye rich media za kuutangazia ulimwengu mzima
Ninahisi pia kuna kamchezo nyuma ya pazia inachezwa na hao wakubwa
 
April 4 ligi zitaendelea kama kawaida ispokuwa nadhani hawataruhusu mashabiki uwanjani mpaka wajiridhishe Corona imetoweka. Possibly hadi mei (mwisho wa msimu) kila kitu kitakuwa kimerudi kawaida
 
hapo mwishoni hata mimi nahisi hivyo, kuna mchezo wanaucheza japo sijui mchezo gani!........

china ligi yao inaanza this april, timu zilizokua zimejihifadhi ulaya zimeanza kurejea china, so kule inaonekana mambo yameanza kwenda barabara!
 
Anaenda Arsenal coz alimaliza 5th place

Arsenal wanataka Ligi ifutwe kabisa
Arsenal wanataka Wacheze UEFA next season kwa position ya msimu uliopita.

Hapo ndiyo kituko cha Arsenal Fanboys kinapoanzia.

Umeona wapi kusiwepo na Ligi lakini kuwe na UEFA?

UEFA si wajinga kiasi hicho! Unadhani hao Manure wanaoshabikia Ligi ifutwe wakija wakiioona Arsenal inacheza Uefa wakati Ligi haikumaliza watakubali? Watakata Rufaa FIFA.
Sheffield na Spurs pia hawatokubali kwani Watalalamika Ligi haikuisha na Nafasi walikuwanayo ya kuweza kupambania kucheza Uefa.

Kiufupi Ligi ikufutwa Mataifa yote yaliyokamilisha Ligi zao basi watacheza CL na Uropa lakini Timu za EPL hazotoshiriki michuano ya UCL wala Uropa kwa msimu unaokuja.

Sote tutaungana na Man City kutumikia Ban
 

Arsenal wanataka kuvuna wasipopanda. Eti wacheze UEFA kwa sababu walikuwa namba 5 last season.

Hawa jamaa utakuta na akili za viongozi wao ni kama hizi hizi tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…