Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Kabisa ndugu hili janga linatisha kwa kasi hii upo uwezekano Euro 2020 kutofanyika ama hata EPL kutomalizika kwa wakati hii yote ni kuepesha vifo na maambukizi zaidi...Point nzuri sana kwa hii post ya kiuungwana uhai wa mtu ni muhimu toka moyoni nawaombea liverpool mchukue ubingwa tu
kufungwa kupo mkuu...hata kipa awe bora vipi atafungwa tu, kinacho matter ni je, anafungwaje?.. goli la kwanza alilofungwa Adrian amefungwa kutokana na uzembe wake..asingetoa lile boko wala lile goli lisingepatikana kiahisi hivyo, kingine lazma tukubali kwamba uwezo wa A.Becker ni mkubwa kuliko wa Adrian.Kama mechi ya watford tungeahinda basi nahii tungeshinda kweli kama unavyosema
Acheni kumnyanyapaa Andriani makosa yapo pande zote
Ukilinganisha kwa hivyo unakosea sana hivi mpira uliopigwa dhidi ya ATM unaweza linganisha na mpira uliopigwa dhidi ya Watford? Aisee wengine mpira mnautazamaje? Mbona fowadi, mido na beki walicheza vyema tu wala huwezi linganisha hata kidogo na walivyocheza dhidi ya Watford,Kama mechi ya watford tungeahinda basi nahii tungeshinda kweli kama unavyosema
Acheni kumnyanyapaa Andriani makosa yapo pande zote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dadeki Corona imeletwa nchini Uengereza na Washabiki wa Manure kuisimamisha Liverpool isichukuwa ubingwa [emoji23] [emoji23]
Mkuu Mc Cane salama aisee...Kinachonisikisha, kuna baadhi ya watu walitaka kuifananisha hii timu na Man Utd treble winers
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumlisha na malipo yake kwa kiwango chake sioni kama anastahili lawama.kufungwa kupo mkuu...hata kipa awe bora vipi atafungwa tu, kinacho matter ni je, anafungwaje?.. goli la kwanza alilofungwa Adrian amefungwa kutokana na uzembe wake..asingetoa lile boko wala lile goli lisingepatikana kiahisi hivyo, kingine lazma tukubali kwamba uwezo wa A.Becker ni mkubwa kuliko wa Adrian.
Adrian siku ile alikua pazia tu na ndio aliyewaangusha siku ile trust me..kule mbele walipambana mpaka wakapata goli la kuongoza..huku nyuma ndio palipowaangusha..kipa mlikua hamna.
Waliocheza vyema wameshinda 3 sie 2Ukilinganisha kwa hivyo unakosea sana hivi mpira uliopigwa dhidi ya ATM unaweza linganisha na mpira uliopigwa dhidi ya Watford? Aisee wengine mpira mnautazamaje? Mbona fowadi, mido na beki walicheza vyema tu wala huwezi linganisha hata kidogo na walivyocheza dhidi ya Watford,
Mkuu Mc Cane salama aisee...
Treble yetu ipo pale pale Super cup, World Club Cup an EPL[emoji85][emoji85][emoji85]
YNWA
Mkuu lile boko huwezi kuwalaumu mabeki haa kidogo...aliyepokea ile boko J. Felix (kama sijakosea)..alitoa assist haraka mabeki walijaribu kumzuia mfungaji vizuri ndio maana uliona mfungaji wakati anapiga mpira alikua under presha ya kunyanganywa mpira na beki, nafkiri hiyo ndio sababu pia iliyomfanya asisogelee goli karibu zaidi nakuamua ku shoot distance ileJumlisha na malipo yake kwa kiwango chake sioni kama anastahili lawama.
Kama asingerushiwa ule mpira asingetoa boko vilevile alienasa ule mpira aliokokota kambla ya kumpaaia mfungaji mabeki walikua wapi?
Kumbuka boko katoa moja hizi goli zingine je mechi ingeiaha dakika tiaini kama washambuliaji wangekua makini ukumbuke hilo
Bwana wee upepo umekata ndugu angalau EPL pointi tulikusanya za kutosha ndio ahueni yetu kwa sasa...
Mkuu lile boko huwezi kuwalaumu mabeki haa kidogo...aliyepokea ile boko J. Felix (kama sijakosea)..alitoa assist haraka mabeki walijaribu kumzuia mfungaji vizuri ndio maana uliona mfungaji wakati anapiga mpira alikua under presha ya kunyanganywa mpira na beki, nafkiri hiyo ndio sababu pia iliyomfanya asisogelee goli karibu zaidi nakuamua ku shoot distance ile
Kama uliangalia vizuri replay ya lile golli nafkri uligundua kwamba kipa yakunyoosha mbavu (kuurukia) vizuri..ipo kama alisita hivi kufanya maamuzi..hata magoli mengine aliyofungwa mimi naamini angekuwepo A.Becker asingefungwa kirahisi vile.
Kuhusu kupata matokea kabla ya dkk 90 kuisha, ukisema ni uzembe wa mafoward utakua unakosea sana mkuu..ni kama haukuona jitihada za kutafuta goli zilizokuwa zinafannywa na timu nzima?..na hapo kumbuka ATM walikua wanadefense almost timu nzima ilikua nyuma kukaba..hata barca sizani kama mlishambulia vile au wewe unaona yale mashambulizi yalikosa nini mpaka mkashindwa kupata matokeo kabla ya dkk 90?...ulitaka liver washambuliaje ili wapete goli mapema?
The FA, Premier League, EFL and Barclays FA Women’s Super League and FA Women’s Championship have collectively agreed to postpone the professional game in England until 3 April at the earliest.
The postponements include all matches in the Premier League, Championship, League One and League Two, as well as all Academy and youth team fixtures.
alafu wanamsingia mkaka wa watu Adrian, VVD anakimbia mtu baada ya kukabaHuyo VvD uwa ana tabia ya kuepuka 1 on 1 situation ili atunze ‘sifa’ ya ati players never dribble past him!! Uwa anakwepa sana hiyo hali. Goli la pili ni mfano halisi!
mtakoma,Dadeki Corona imeletwa nchini Uengereza na Washabiki wa Manure kuisimamisha Liverpool isichukuwe ubingwa [emoji23] [emoji23]