Jürgen Klopp says that Jordan Henderson and Andy Robertson "should be possible" to face Atletico Madrid in midweek.
The boss said: “Hendo will train today, that looks good, and Robbo should not be a problem."
YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app
Whatever can be applied to beat Alet so be its...Jürgen Klopp says that Jordan Henderson and Andy Robertson "should be possible" to face Atletico Madrid in midweek.
The boss said: “Hendo will train today, that looks good, and Robbo should not be a problem."
YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app
My dia umeamua kabisa kututusi namna hii?Uzuri wa ushindi wenu bhana hautakuwa wa shamra shamra kama inavyotakiwa iwe kwasababu mmejua mapema kwamba mmeshachukua
Ni kama vile umeishi miaka nenda rudi na mwanamke weeeeeeeee halafu eti mnakuja kufanya harusi....hakuna jipya
Liverpool anapoteza game zote zilizobaki na city anakuwa bingwa hamtoamini .....
Sent using Jamii Forums mobile app
Henderson is not a creative mido, he is good kuweka nidhamuHenderson hiyo mechi hatakiwu kuanza ila awepo Tu kwenye benchi kuna Hali flani(mzuka) itaongezeka Kwa wenzake wataoanza hasa kutokana na hii ya kuonekana bila yeye tumefanya vibaya...mfano kuna mechi Uruguay ilicheza na ...,(sikumbuki) Suarez hakuwa fit ila akawepo Tu nje anapasha misuli mpaka mechi ikaisha ila iliyofuata alianza Vs England na akatupia mbili..Kwa tuliocheza kidogo chandimu tunaelewa ile Hali ya mchezaji flani tegemeo akiwepo siku hiyo baada ya kutukuwepo kitaa mda mrefu inavyokuwa...
USHAURI HATA HENDERSON AKIWA FIT SIKU HIYO ASIANZE KWANZA PRESHA ITAKUWA KUBWA SANA NA ATABORONGA AINGIE SUB..
Sent using Jamii Forums mobile app
King kibadeni mputa ndo mchezaji wa mwisho kufunga hatrick kwenye game ya watani record hiyo ina miaka 34
Sent using Jamii Forums mobile app
My dia umeamua kabisa kututusi namna hii?
Yaani sisi tumekaa na mwanamke muda mrefuuuu afu ndo tunafunga ndoa? Jamani jamani jamaniNimekutusi wapi dia babu?
flexibility muhimu, naona wapinzani wanajua tutacheza vipi na sisi tunajua kiasi kuhusu wao au vipi sijui yaani.Hivi klop hamuoni fabinho yuko out of form ampumzishe he is the weakest link kwenye mido yetu kwa sasa.pembeni na hendo kutokuwepo lakini as a holding mid anakimbia kimbia tu as headless chicken ni time sasa yakumuweka hata gini as holding kama hendo atakuwa bado injured. Na atletico tukicheza jinsi tunavyocheza resently tutakula nyingi sana. Kwa staili tunayocheza defence yetu iko soo exposed jana kama isingekuwa mili goli lingesharudi. Ni time sasa ya kushift kwenye 4-2-3-1 mweke mili na gini as 2 holding alafu mbele yao mweke ox/bobi/mane alafu upfront akae salah
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkubwa umechanganya uzi bila shakaKing kibadeni mputa ndo mchezaji wa mwisho kufunga hatrick kwenye game ya watani record hiyo ina miaka 34
Sent using Jamii Forums mobile app