DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Gnabry.Mane
Salah
Gnabry
Ukiambiwa umchague mmoja tu asajiliwe Arsenal unamchukua nani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gnabry.Mane
Salah
Gnabry
Ukiambiwa umchague mmoja tu asajiliwe Arsenal unamchukua nani.
Mane
Salah
Gnabry
Ukiambiwa umchague mmoja tu asajiliwe Arsenal unamchukua nani.
Gnabry ni moto wa kuotea mbali kabisa mzee,kwa kusema kweli hapo umeendeshwa zaidi na ushabiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo tena wanatobolewa na ChelsealiVARfools 0 Watford 3
kuku nyie mushukuru sana VAR na bado hambebi kombe mbeleko fc😀😛
Relax, rekebisha mwandiko, unaandika kwa hasira.liVARfools 0 Watford 3
kuku nyie mushukuru sana VAR na bado hambebi kombe mbeleko fc😀😛
mkuu naona umejitoa mhanga kuongea ukweli!......Ukweli ni kwamba nimeshtukia kitu hapa kuwa kuna watu wanaangalia Liverpool na EPL tu na hawaangalii Ligi nyengine yeyote ile. Na ndiyomana wanajiaminisha wenyewe kuwa Salah na Mane ni wachezaji bora hakuna zaidi yao.
Nakubali Salah na Mane ni wachezaji wazuri lakini si hivyo watu wanavyojiaminisha.
Usijeshangaa kuwa Mtu ana underestimate uwezo wa Gnabry wakati hata hamjui huyo Gnabry wenyewe.

mkuu naona umejitoa mhanga kuongea ukweli!......
hapa kuna watu ukigusa 'front 3 yetu' kwa lolote hawakuelewi! wanaona kama ile ndio roho ya timu haipaswi kuguswa!
eti, huwezi kusajili mchezaji aje kumtoa member wa front 3 yetu! khaaa!
Kwa Salah naweza kukubali lakini sio kwa Sadio ManeUkweli ni kwamba nimeshtukia kitu hapa kuwa kuna watu wanaangalia Liverpool na EPL tu na hawaangalii Ligi nyengine yeyote ile. Na ndiyomana wanajiaminisha wenyewe kuwa Salah na Mane ni wachezaji bora hakuna zaidi yao.
Nakubali Salah na Mane ni wachezaji wazuri lakini si hivyo watu wanavyojiaminisha.
Usijeshangaa kuwa Mtu ana underestimate uwezo wa Gnabry wakati hata hamjui huyo Gnabry wenyewe.
We are living dangerously mate...possibly lined up for another thrashing tonight. there're all signs I fear!!