Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yani maneno haya ninayasikia kwa Washabiki wa Liverpool tu na huwezi kuyasikia kwa washabiki wa Timu nyengine yeyote ile.

Dah! Yani tusisajili wachezaji wazuri ili Front 3 yetu isipate wa kuwasumbua kwenye namba???? Maneno ya mpira kweli haya???????
Ila mkuu unaongea ukweli sana kuhusu chama lako, Liverpool inahitaji kusajili wachezaji wazuri pale mbele wenye viwango angalau vya kufanana na front 3 yenu...

Mnastruggle sana hawa jamaa wakiwa hawapo vizuri. Akina Origi sio wa kuwategemea kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui ninaona vibaya au ni macho yangu yana shida......Since Fabinho amerejea kutoa kwenye injury katika last few games alizocheza nadhani nadhani jamaa ndio anaongoza kupiga passing between our back line.
 
We are living dangerously mate...

At least a few shots on target..

Losing a few passes and general positioning still a challenge...

We need a proper calculated response here otherwise we count another loss...

YNWA
Fabinho has returned not the same maestro we were used to seeing before he got injured.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom