Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
Oook hapana Harry ni Mchezaji wa kawaida minus his dead balls accuracy ila akija ni bench warmer hivyo kama Bono wakileta mkwaja tuchukue mapema wapo wachezaji wazuri tu Wa kusapoti benchi letu Kwa bei chee kama Emiliano wa Norwich...Mi navyoona unaposema Harry kuwa kumreplace Keita wakati ye hajaonesha kile tulichotarajia zaidi ya injuries Kila baada ya muda ...sidhani kama unaweza kumuweka Harry mbadala wa keita maana hata first eleven kuanza ni kwa mbinde ...Harry bado mchezaji wa liver akija atasugua benchi tu kama Keita so labda replacement ya Keita huko benchi...hapo sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
I swear bro.... it was a horror movie starring a man-eating monster from Croatia!!Man game jana sikuoni aisee radi kali sana Tanesco wakachukua umeme wao...
Will watch nione what's Klopp boys were cooking at Vicarage Road jana...
To be honest this was coming...
YNWA
Hahaha that would be the self proclaimed best cb in th world...I swear bro.... it was a horror movie starring a man-eating monster from Croatia!!
Kuliko hamu yenyewe.Inaonesha hii siku ulikuwa ukiisubiri kwa hamu
Hahahahaha..Hiki ndo kitu pekee Arsenal anachojivunia nacho katika ulimwengu wa mpira. Tuwabakizie Prestige yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sababu ya kwanza ni sawa sawa ila hiyo ya pili ni big NO.Kwa mawazo yangu nadhani Sababu kuu ya Liverpool kufungwa sasa ni UCHOVU & MENTALITY ya wachazaji.
1. UCHOVU:- Wachezaji wa Liverpool wametumia nguvu kubwa sana kwa kipindi kirefu kushinda mechi. Mfano kule mbele magoli yanayofungwa ni ya kutumia nguvu sana.
Mara Salah kakokota, speed kali, kupambana na mabeki, huku kavutwa, ukija kwa mane magoli anayofunga ni zaidi ya vita anapambana nguvu nyingi mpaka na maserekasi aisee.
Achilia mbali nguvu wanayotumia mabeki kukaba na kupanda kushambulia kwa kasi na kurudi fasta kukaba.
Kwa muda uliobaki mchezaji mzuri utamuona mbaya kwa sababu ya UCHOVU, wengi hawatacheza katika kiwango bora.
2. MENTALITY:- Hili liko wazi wachezaji wanafahamu Liverpool tayari ni bingwa EPL msimu huu. Wanasubiria tuu muda ufike wabebe ndoo. Hawaoni haja saaana kuendelea kutumia energy kuuuuuubwa kumalizia mechi zilizobaki.
Ila Liverpol angekuwa anafukuzwa hapo nyuma kwa tofauti ya point chache, weee wachezaji wasingebweteka jana Watford angekula marungu ya kutosha.
Nadhani mashabiki muendelee kuwashangilia kuelekea mwisho mzuri wa kusisimua kubeba kombe. Sioni haja ya kuwasema, kuwakosoa zaidi ya kuwapongeza tuu kwa kazi waliofanya.
Aisee wanaume wametoka mbali kufukuzia huu ubingwa. Wanastahili pongezi kila siku.
Halafu wewe king Ngwaba dawa yako inachemka msimu ujao, umetusema sana kule SHUBAAAMIT zako.
Sent using Cash Money Wings
Real.Kikosi cha Kwanza cha Liverpool:
1) Alisson
2) TAA
3) Gomez
4) VVD
5) Robbo
6) Faby
7) Hendo
8) Gini
9) Salah
10) Bobby
11) Mane
Subs:
OX
Keita
Origi
Sioni subs nyengine inayoweza kubadilisha chochote zaidi ya hawo 3
We've a very limited squad
- Salah tayari ameshapoteza Half of his Skills
- Firmino not the one we used to know! Technically ameanza kupungua
- Mane ndiyo 100% amebakia kuwa Mane himself! He's still a threat kwenye lango la opponents.
Next Window One Attacking Midfielder na One Striker wanahitajika ili tubaki salama.
Tukumbuke kuwa sasa ni wakati wa kuaccept the truth kwamba KEITA and OX ni failed project. I've no doubt kuhusu Vipaji vyao, but my concern ni injury prone zao ndizo zinazofanya availability yao kuwa ni disadvantage rather than advantage.
Wewe nyumbu unafanya nini hapa????mbona hii dunia haiishi vituko jamani?????Hahahaa kumbe wewe arsenal...hahhaaha
Endeleeni kupambana huko chini wehu nyinyi, acheni wanaume tupambane huko juu, nyau nyie, yani mnapambana nafasi ya kumi huko halafu mnapata muda wa kuwacheka liverpool wanaochukua ubingwa wa epl mwaka huu, nyie kweli wendawazimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unaweweseka .....????wewe ulistahili kuwa mikumi sasa hivi Nyumbu,Sherehe ya siku moja..ganja boys kweli nyie [emoji28][emoji28][emoji28] ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Dokta wetu wa sasa ametokea kwako mkuu DullyJr?
Mkuu kwema aaa niaje darajani.... Mbona Ollachuga Oc ulimuachaga peke yake humu....Malaria huanza kwa maumivu ya kichwa na vihoma vya hapa na pale. Ubingwa utachukua bila ubishi ila ilikua ni dharau kwa ligi ya EPL umalize hujaguswa. Jiandae cha pili au cha tatu kinafuata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha imenikumbusha vs Spurs 2017 walim target Lovren na tulikufa 4 aisee pia vs Manchester United 2018 walimtarget huyo huyo...VVD anakukoseshaga raha mwamba [emoji23] [emoji23] he is total above your racks there at the back.View attachment 1373604 haya mbishie na Troy basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo la ubingwa sina ubishi nalo.Mkuu kwema aaa niaje darajani.... Mbona Ollachuga Oc ulimuachaga peke yake humu....
Ubingwa hauzuiliki kutua Anfield msimu huu hata corona akitua upo uwezekano tukapewa kombe lote mapema kabisaaaa...
YNWA
Hahahahaha next mission ni kumweka VVD,Mane na Fabinho kitandani.....Dokta wetu wa sasa ametokea kwako mkuu DullyJr?
Haha au kaja Kwa mission nyingine [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
YNWA