Mkuu punguza dharau bhana, kwa hiyo unaamaanisha jamaa hana hadhi hata ya kudeki choo!! duuuh! [emoji16][emoji23][emoji23]Kula ugali wa dona kwa maharage na bamia. Hao unawaita takataka huna hadhi hata ya kudeki choo wanacho kunya wakila mapochopocho yako...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua tatizo hendo ama mmechoka... Bora mtulie msihangaike na marekodiTrue, ila sioni tuki-survive UEFA.
Timu upepo umeshakata tayari.
Lovren sio beki imara.now I understand why both Klopp & Southgate rate Hendo so highly.
our midfield looks extremely porous and soft without him. it's bitter, but factual.
Sijajua tatizo hendo ama mmechoka... Bora mtulie msihangaike na marekodi
Sent using Jamii Forums mobile app
Lovren sio beki imara.
Gomes aliweza kumpa TAA nafasi ya kujiamini na kupeleka team mbele.
Ox sio mido sahihi.
Ratiba imekaza sana... Sema rotation ilikuwa muhimu sana sema tatizo jingine linakuwa kuwa ukilemaa epl unapigwa mwereka mapema sanaRecord chasing ni hectic mazee, game kadhaa baada ya kutoka winter break zilikuwa ngumu.
Vs Norwich Sadio akaokoa, Westham vs Atletico.
Naona mkuu kweli umeyapata(magoli yako 3 mfukoni)Kama kawaida yangu, game ya 45 leo nina magoli yangu 3 mfukoni.
45 unbeaten run.
4 to go kumfikia Arsenal.
Tatizo Leo ni Lovren na Ox.Mimi huwa nawashangaa sana mashabiki wa Liverpool kumtukana Henderson. May be huwa ni mihemuko ya mashabiki tu.
Henderson huwa anaifanya midfield yenu iwe composed na defence iwe balanced.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu punguza dharau bhana, kwa hiyo unaamaanisha jamaa hana hadhi hata ya kudeki choo!! duuuh! [emoji16][emoji23][emoji23]
Naona mkuu kweli umeyapata(magoli yako 3 mfukoni)
Pole "bingwa" ndio mpira huo.
Beggars can't be choosers
It's not about Henderson