Hao ndo wale lazima Hendo acheze nnashaka ndo anategemewa na kamati ya ufundi mana si chapuo hili
Mimi si mtu wa stutas ila Keita juzi kapondwa sana kama kacheza vibaya ila pamoja na ubovu alo onye unaweza kuta kamzidi stutas Hendo.
Kunamtu alisema hakabi namii nimeona kapora mipira kama mitatu hivi
Keita is pure class minus the injuries...Nimelazimika kuukaa kimya ila honestly nilivyoona Keita kapondwa vile nikahisi nimeangalia mpira vibaya au lah siwezi kuangalia mpira kiufundi
Sent using Jamii Forums mobile app
Boy fitness is letting him down big time and he is stressed as we are... Its ain't easy getting injured every two games etc na awe normal jamani...Keita anaenda msimu wa pili kila siku anaumia tu.... Msimu huu Hendo yuko form sana
Man we are heading in the right direction...
Sijawahi kuwa na shaka na uwezo wa Keita... but ila majeruhi ndio yananifanya nisemehe haya... ila keita ni keitaBoy fitness is letting him down big time and he is stressed as we are... Its ain't easy getting injured every two games etc na awe normal jamani...
If he can stay full time fitness like 6 games in a row then we can have a proper conversation about this baller and twister boy...
YNWA
Same here ndugu... Yaani sijui jamaa kipi kifanyike tusahau haya majereha yake mara Kwa mara maana yanamkatisha tamaa kila akianza kuamsha huyoo majeruhi...Sijawahi kuwa na shaka na uwezo wa Keita... but ila majeruhi ndio yananifanya nisemehe haya... ila keita ni keita
Hem niwekee stutas za huyu mgonjwa na huyu anae cheza kila siku tuzihesabu hasara na faidaKeita anaenda msimu wa pili kila siku anaumia tu.... Msimu huu Hendo yuko form sana
Mechi ya juzi alibolonga au hakucheza kwa kiwango chake?Keita is pure class minus the injuries...
The Keita we signed was only alive zile gemu last season za Vs Hammers na vs Palace kama sikosei we won around 4 or 3 goals.. Baada ya hapo Keita hajawai kurejea kwenye hio form amekua na recurring injuries kiasi u might think the boy is cursed man...
Mjadala wa Keita ni ishu sana maana he ain't a robot kila baada ya lay off arudi na makali lazima kuna kipindi cha ku recover na build game fitness sasa hapo ndio pazito maana wakati anaanza ku pick utasikia tena Keita nje wiki 4 bla bla...
Hopefully he can stay off injuries and apate game time ya kutosha then we can at least say we have a real 8 here ama RB screwed us big time...
YNWA
kama 8, fabinho na Hendo wanabaki DM
Hahaha... mimi kwa hendo ata sitii neno mkuu.Lengo lako Hendo acheze namba ngapi?
Tumesha ambiwa Hendo anamchango mkubwa si uwanjani tu bali nje ya uwanja hivyo usitegemee tutasajili mchezaji wa namba yake atakae mzidi kiwango hilo sahau mkuu.
Timo werner anapigiwa chapuo na vyombo vya habari atue Liverpool sijui kunani mpaka wamsukumie huku?
Mkuu Keita sio tu juzi ndugu mbali kwa mechi nyingi tu hatupi tunachotarajia tukione kwake pengine hii inatokana na muda mwingine kuchezeshwa nafasi 'asiyopenda' na kadhalika...Mechi ya juzi alibolonga au hakucheza kwa kiwango chake?
Mana hata Chambo alivyo ingia sikuona zaidi ya lile shuti hakuongeza kitu japo si fundi wa kuangalia mpira
Hahahaha ebu muachane Le Kapteini apone...ni contender wa mambo makubwa sana...Lengo lako Hendo acheze namba ngapi?
Tumesha ambiwa Hendo anamchango mkubwa si uwanjani tu bali nje ya uwanja hivyo usitegemee tutasajili mchezaji wa namba yake atakae mzidi kiwango hilo sahau mkuu.
Timo werner anapigiwa chapuo na vyombo vya habari atue Liverpool sijui kunani mpaka wamsukumie huku?
Madhara ya kuacha kujenga kwako kutwa kwa jirani
Arsenal nje na olympiacos.
Chelsea sawa na nje.
Kutwa liverpool anabebwa.
Shauri yenu msijenge kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana yani msimu bado unashaka na performance ya Hendo?Hem niwekee stutas za huyu mgonjwa na huyu anae cheza kila siku tuzihesabu hasara na faida