Sio bure una lako jambo, why unataka pm na sio public?Ni PM namba yako nikuunge kwenye group la Whatsapp kama baadhi ya Kops walivyofanya halafu nikawaunganisha, maana link Jamaa kaamua kuifunga kwa sababu Nyumbu walikuja kuleta vurugu. Ni PM nikuunge
Liverfools. The worst champions to be in the history of Epl and football timu yenu ni mbovu haina mvuto maningwa wa ngekewa.
Football analysts wanaojielewa wanasema msimu huu ligi ya uingereza imekua mbovu katika misimu yote tokea ianzishwe and the funny thing a team so called chickens of the city are going to be champions in the worst seasons of the EPL. Hamuoni aibi hata kushangilia ubingwa msimu huu wakati wanaume zenu Manutd na Chelsea, Arsenal tupo kwenye transitional period. Yaani hata ubingwa wenu haunogi in short hauvutii.
Liverfools eti now mnasema Henderson for balon dor hii ngekewa imewafanya mjione mmeyapatia maisha sana.
#chukueni ubingwa ila mabwana zenu ni Manutd the red devils. Mabingwa wa kihistoria ndo sisi NYIE UBINGWA WENU HAUNA MVUTO NI NGEKEWA TU HII TUMEWAPA MAANA MMESOTA SANA .
GHMU
Bint lazima aliyekupa mimba kaikataa maana si kwa chuki hizi, ila mipovu yako mpelekee mwanaume wako sisi hatuhusiki na wala hatufanani naeLiverfools. The worst champions to be in the history of Epl and football timu yenu ni mbovu haina mvuto maningwa wa ngekewa.
Football analysts wanaojielewa wanasema msimu huu ligi ya uingereza imekua mbovu katika misimu yote tokea ianzishwe and the funny thing a team so called chickens of the city are going to be champions in the worst seasons of the EPL. Hamuoni aibi hata kushangilia ubingwa msimu huu wakati wanaume zenu Manutd na Chelsea, Arsenal tupo kwenye transitional period. Yaani hata ubingwa wenu haunogi in short hauvutii.
Liverfools eti now mnasema Henderson for balon dor hii ngekewa imewafanya mjione mmeyapatia maisha sana.
#chukueni ubingwa ila mabwana zenu ni Manutd the red devils. Mabingwa wa kihistoria ndo sisi NYIE UBINGWA WENU HAUNA MVUTO NI NGEKEWA TU HII TUMEWAPA MAANA MMESOTA SANA .
GHMU
Sio kwa uchezaji huu Mkuu.
Tupo very slow sijui huwa tunapatwa na nini kila tunaporudi kutoka kwenye hizi Break.
Kwa uchezaji huu kumfunga Atletico madrid ni ndoto.Mkuu tangu tutoke Winter mapumziko hii timu kuna shinda ipo kabisa inaonekana ni kama miguu imeanza kuchoka vile...
Hawa hata last season walitukazia hivi hivi tukatoka suluhu...
YNWA
Mkuu tangu tutoke Winter mapumziko hii timu kuna shinda ipo kabisa inaonekana ni kama miguu imeanza kuchoka vile...
Hawa hata last season walitukazia hivi hivi tukatoka suluhu...
YNWA
Klopp team ilifanya vibaya kisa kuuza team players.Kafuatilie historian ya klopp huko nyuma. Huu ndo msimu wenu wa mwisho kua vizuri msimu ujao ni nafasi ya Europa na nyie.
Timu zake zinashindwaga kuna na consistency after achieving any big success.
Subiri atletico awatoe Uefa ndo utaniamini vizuri kwamba consistency ya timu za klopp hua inakufa kifo cha mende kama CUF ya lipumba.
La wapi hili nalo?Kafuatilie historian ya klopp huko nyuma. Huu ndo msimu wenu wa mwisho kua vizuri msimu ujao ni nafasi ya Europa na nyie.