Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Come on Klopp bring on Sancho and Timo...

Timo is very flexible to play any position upfront...

Sancho assist are class way above what our front 3 are producing...

Ishu kwa Sancho ni bidding war kati ya Chelsea, Manchester United na Liverpool...

YNWA
 
Niliona mahala Klopp did bid for attacking midfielder Nigerian Samuel Chukwueze Januari naona Klopp anaridhika na kazi ya hawa Wanyamwezi...

Klopp pengine atarudi Villarreal Juni japo nae huyu Afcon inamhusu.

YNWA
 
Sancho???...... sijui kwanini simwamini sana yule dogo
 
Sancho???...... sijui kwanini simwamini sana yule dogo
Mkuu tazama stat zake kwa umakini utaona kwa Chelsea, Manchester United, Barcelona nk wanamtolea macho na Dortmond wanajua ni special talents ndio maana bei yake inaanzia £100m...

Kila baada ya dakika 78 ndogo anashiriki kutengeneza ama kufunga goli..

Tangu msimu wa 2018-2019 Sancho ana assist 27 na goli 24 jumla 51, Salah 50, Mane 40 na Firmino 33..hapo Sancho akiwa amecheza dakika 3,999, Salah 5,142, Mane 4,868, Firmino 4,689..hivyo unaweza kuona contribution ya ndogo sio haba anakuja amesheni ma assist na magoli mengi maana chini ya German Guru Klopp atakua moto sana...

Pia kila gemu attempts zake kuwapitia mambeki ni 2.5 bora zaidi ya Salah 1.9, Mane 1.6 na Firmino 1.5

YNWA
 
possibly watakatwa pia zile za tokea 2012/13 mpk 15/16 nadhan as ndio frame udanganyifu walifanya!

hata hivyo lile kombe lirudi tu kwa fa, hatulitaki kwa sasa[emoji1787]
Hahaha haipo hivyo ndugu...

Pointi watakatwa tu msimu huu baada ya EPL pia kumaliza uchunguzi wao...

Hata bila wao kukatwa pointi msimu huu mbona ubingwa ulishatua Anfield...

YNWA
 
Mo Salah 8 chances only then kuna watu wanamuona hafai pale Anfield, dah, aisee kweli dunia ina maajabu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wakati wa kuipa Liverpool heshima nyingi wanazostahiki kwa uwezo wao wa msimu huu, huku tukisubiri kuona rekodi zinazovunjwa na kuweka rekodi zao kila wikiendi.

Wana Liverpool tanzania nzima tumeamua kufanya sherehe shangwe na nderemo kusherehekea ubingwa huu wa kihistoria hasa pale tutakapo vunja vunja record zote zawapinzani Wetu


Shime wana Liverpool kuazimia kwa pamoja kufanya sherehe hizi kilele chake zitakua sanjari na Siku ya kukabidhiwa kombe LA, EPL



Sherehe hiz kilele chake zitafanyika jijini dar resalam

Wilaya ya kinondoni Kijitonyama kwenye uwanja wa wazi


Sehemu ambayo itapambwa na mabendera na mapicha ya Liverpool pamoja na kuwapandisha stejini wasanii kadha wakadha ambao ni makop wenzetu Tanzania nzima
kula na kunywa kwapamoja

Tukio ambalo litatanguliwa uchangiaji wa damu salama

Kutembelea magereza kwandugu zetu

Kutoa misaada kwa vituo vya watoto mayatima

Kufanya kazi zakijamii nakadhalika


Hakika itakua nisiku ya shamra shamra kwa wana Liverpool wote



Tupo tunapambana kujua na kufanya mikoa yote ya Tanzania



Lengo nikuboresha udugu mshikamano na kuitangaza TANZANIA NA LIVERPOOL KWA UJUMLA



YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mo Salah 8 chances only then kuna watu wanamuona hafai pale Anfield, dah, aisee kweli dunia ina maajabu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofauti ya chance na Big chance hapo Salah hayumo kabisa kwenye Big chance missed ...

Soccer is about numbers mkuu and numbers don't lie kabisa...

Hofu yangu japo Misri hawajaleta barua rasmi kututaarifu uwepo wa Salah kikosini cha kushiriki Olympics hapo tu inamlazimu Klopp aingie sokoni kuleta kifaa kuleta assist na magoli kama ya huyu Pharaoh wetu...

Tena January wanatutoka Mane na Salah kwenda Afcon yaaani yajayo yanaogopesha ndugu...

Naamini Edwards na ma scout wapo kazini kuhahakikisha hakwami kutetea ubingwa wetu...

YNWA
 
Tayari kikao cha kwanza kilishafanyika, kwa member wa Bingwa mtarajiwa Liverpool anaweza akani PM ili nimpe link ya group la Whatsapp ajiunge ili akapate ufafanuzi zaidi na atoe na mawazo yake. Na hatua tuliyofikia ni nzuri kwa Member wa Liverpool anayetaka kujumuika na sisi kusheherekea Ubingwa wa England baada ya miaka 30 ani PM ili tuungane pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tuma link ya group tujiunge, hii ya ku PM number kwangu mimi haipo safe sana coz mimi sio praise team wa Ngosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unaamin hili jambo n la nia njema tu sion sababu ya wewe MTU akufuate pm weka link hapa haya mambo ya pm wengi yametusababishia maumivu Mkuu kuna usiri gani hapo mkuuu kwa jambo la waz kama hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You don't miss chances without creating them....

Unaweza ukaleta myu akawa hata creation Hana, I would take any new guy to come and compete not to upgrade

I don't see Sancho Wala Werner as upgrade.... Never have, never will

Role ya firmino kwenye stability ya team Ni beyond Timo and jardon contribution.... He's the Jesus bolt of our helicopter
 
Naona mnataka na ushindi wa mezani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena mm natamani FA wawavutie kamba tu faster hata mwaka jana pia wavuliwe Liverpool apewe yaani tuchukue ndoo 3 za EPL kwa pamoja tuendelee kuweka record ambazo hazitakuja kufutwa na club nyingine yoyote ile duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…