Atakuwa anambili,mechi ambazo alikuwa anafunga zilikuwa sio epl,hizo hapo ni za epl peke yake.labda tuanze kutaja mechi ambazo amefunga.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Atakuwa anambili,mechi ambazo alikuwa anafunga zilikuwa sio epl,hizo hapo ni za epl peke yake.labda tuanze kutaja mechi ambazo amefunga.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Chamberlain ana goli 3 EPL msimu huu 2019/2020
Na Origi ana goli 3 na assist 1 pia EPL msimu huu
Sent using Jamii Forums mobile app
vs Everton alifunga 2
vs Norwich alifunga 1
Lengo ukute ilikuwa ni shout out kwa Captain. Maana ukianza kuweka wachezaji wengine waliofunga itaonekana yeye si kitu.
kaptein siku hizi ni kama serikali yetu, usipomsifia wewe sio mzalendo![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lengo ukute ilikuwa ni shout out kwa Captain. Maana ukianza kuweka wachezaji wengine waliofunga itaonekana yeye si kitu.
Lengo ukute ilikuwa ni shout out kwa Captain. Maana ukianza kuweka wachezaji wengine waliofunga itaonekana yeye si kitu.
Absolutely....Lengo ukute ilikuwa ni shout out kwa Captain. Maana ukianza kuweka wachezaji wengine waliofunga itaonekana yeye si kitu.
Huyu mzee bwana [emoji28][emoji28][emoji23]
[emoji23]Habari ndugu zangu
Kila navyooga nafanya mazoezi ya kunyanyua kombeee
Sent using Jamii Forums mobile app
English crap at its bestHivi hayo maneno wamesema kweli? Au fake hiyo?
View attachment 1354863
View attachment 1354864
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mengine muwe mnabaki nayoHivi hayo maneno wamesema kweli? Au fake hiyo?
View attachment 1354863
View attachment 1354864
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hilo ndiyo lengo la Media za Kiengereza kulazimisha Hendo aonekane ni bonge la mchezaji.
Hapo wamefikia kumuingiza katika list ya Top Scorer wakati wapo walio na magoli mengi kuliko yeye.
Hebu angalia kwa Maguire, Walimpaisha na kumfanya kuwa yeye ni beki bora kuliko VVD mpaka akauzwa kwa bei mbaya.
Wakataka kulazimisha ubora wa Madison lakini wameshindwa.
Sasahivi wanaforce kwa Henderson kwasababu tu kafunga magoli 3
Hivi hayo maneno wamesema kweli? Au fake hiyo?
View attachment 1354863
View attachment 1354864
Sent from my iPhone using JamiiForums