Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ila sisi nao tumezidi ubahili, tuwape mishahara jamaa ili wainjoi maisha huku wanapiga kazi
Sio mbaya ila lazima tuangalie na mfuko. Timu bora si uwanjani tu na financial ni lazima tuwe vizuri. Hatuwezi kuwa km Man U kugawa hela kizembembe. Bora tuzitengeneze ili tuwe washindani wa kweli baadae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila sisi nao tumezidi ubahili, tuwape mishahara jamaa ili wainjoi maisha huku wanapiga kazi
Bwana wee ni kweli kabisa tulipofikia inabidi iwe win win situation kwa wote...

Timu ichukue makombe makubwa huku mandogo mishahara nayo ikiwa ni hadhi yao...

Naamini baada ya kuchukua EPL mandogo watapata levelage bora ya kudai malipo makubwa...

YNWA
 
Tuangalie mechi hapa Kopites.

Similar Discussions

Back
Top Bottom