Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

SG struggled under Rodgers?


Kaka huwa unakwama wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Did you even watch a prime SG?


Unajua kuwa SG ni typical Klopp Midfielder, not just Klopp, he was every manager's dream MF.


Mnamuangalia SG kwenye youtube afu manakuja na hizi takes za ajabu.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi za Rodgers (2013/14) SG alikuwa na umri gani ili turelate na hiyo kauli ya kuwa alikuwa normal.
Jamaa, takes zake za mpira zinachekesha sana.

Ukute hata SG wa 2013/14 hakumuangalia..


He was our best MF that season, pamoja na umri kuwa umemtupa mkono..


You watch this Klopp's team every day na bado unakuja na takes za kuwa SG asingefit, SG wa ukerewe, au?


Its all about opinions, but kuna opinions zingine ni za kipuuzi na zinakera.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani huyo Mtu nashindwa kumuelewa mpaka nabaki nanyamaza.

Sometime huwa ninajiuliza hivi aliwahi kumshuhudia SG akicheza mpira au anamzungumza kupitia ile Clip aliyoteleza mbele ya Demba Ba!!!
Man, these new LFC fans are so stupid at times..


I guess hajawahi kumuona a peak SG..


So, huwezi kumshangaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Yani chambuzi zake ukiziangalia utaziona wazi kuwa anakopy na kupest kutoka kwa wachambuzi wa Redio za Kibongo.
 
Duuuh
 
We will get the Guard of Honor at Etihad if we win our next 6 games and City continues to drop points.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nshalewa hapa... Hebu nisaidie rekodi ambazo sijawahi kuzisoma katika ligi ya Wingerezani kwa sababu ya ulevi wangu....

Rekodi ya tofauti ya pointi kati ya:

Bingwa Vs Mshindi wa pili
Bingwa Vs Aliyeshika mkia
Bingwa mpya Vs Bingwa mstaafu
Bingwa aliyepata points nyingi zaidi Vs Bingwa aliyepeta points chache zaidi

Kama na wewe hujui au hujanielewa, wala usijali... hizi ni pombe tu.

Nina Raha mimi ndo maana.... Naisubiria Furaha kama niliyoipata pale SG alivyoongoza chama likatwaa ndoo bada ya kuwa tumeshacharazwa 3-0 na yale manyigu ya Milan...

SHENZY ZAO KABISA, TENA SHENZY NA ROBO.
 
It will be epic, hahahahahahaha!


Man, we have come a long way.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…