Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Hahaha thought we have been top since 1st game albeit goal difference...Can someone remind me in which month did we come on top of the league? This is Liverpool, team in space, winning in space and EPL Champion in space!
Ha ha haaaaa,, this is LiverpoolHahaha thought we have been top since 1st game albeit goal difference...
YNWA
kwenda Bila kufungwa ni ngumu japo watu wanaiona LFC inaouwezo kufanya walichofanya Arsenal sio kitu rahisi Furaha ya LFC ni kubeba ubingwa hiyo ndio hamu yangu kubwa tukibebwa tukafungwa zote poteleapote muhimu Ubingwa naona siku mbali kweli Mungu nipe uzima hiyo siku niwe hai nakuhaidi nitafanya fujo isiyoumiza 😃😃Mkuu na mimi Sasa hivi naesabia hizo mechi tu zimebaki ngapi, Baada ya mechi ijayo kushinda zinabaki 7, nimwendo wa kuesabia hivyo. Hayo mapoint nitaanza kuesabia Baada ya hizo mechi kufika
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kila nikikumbuka watu walivyokuwa wanmponda Hendo humu, mie nilikuwa namponda Downing tu na kumtetea Hendo mwisho na mie nikaingia mkumbo wa Kumponda ila anisamehe Captain. ameonyesha uwezo wake ila mwakani wampe Virgil awe Captain kuhusu Hendo nimempa heshima yake Eh Mungu tufikishe May tuone anavyochezesha miguu!!!Jordan Henderson.....hahahahahahahhaa anaenda kumfunika kapten pendwa hapo anfield maana mpaka sasa kashabeba kila kombe ...yule mwingine EPL ilimtoa jasho.
Hahahahahahaha hahahahahaha hahahahahah hahahahahaha
Jordan Kop Hendorson wewe ndio siri ya mafanikio ya KLOPP
Sent using Jamii Forums mobile app
Henderson ni mashine ya kaziKila nikikumbuka watu walivyokuwa wanmponda Hendo humu, mie nilikuwa namponda Downing tu na kumtetea Hendo mwisho na mie nikaingia mkumbo wa Kumponda ila anisamehe Captain. ameonyesha uwezo wake ila mwakani wampe Virgil awe Captain kuhusu Hendo nimempa heshima yake Eh Mungu tufikishe May tuone anavyochezesha miguu!!!
Hahahaha babu umeuaaaa....Kwa sababu sio mashoga....
Amna yan awa fans ni walevi kweli kweli ..wewe angalia ata vitu wanavyoandika apa, kama muda wote wamelewa lewa vile..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji22][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] dah hukosagi cha kuwachokoza Liverpool
Hawa ulevi wamejifunzia kwa Klopp
Weeee sisi Chelsea hua tunapiga vitu vya bei mbaya atunywi balimi sisi kama nini wa Liverpool, tena msimu huu ndo walevi wengi wameongezeka mkibeba ubingwa itasababisha maafa makubwa maana mutaishia kulewa kwa furaha alafu mutaanguka mutakufa[emoji3][emoji3][emoji3]Konki likwidi ni chelsi
Huu utafiti ni kutoka vyanzo vyangu vya kuaminika..
Wanywaji??? Ivi kuna fans wa apa jukwaani sio mlevi??? Kama yuko anyooshe kidole juu...wengi wanywaji sio walevi, sasa kitu mboribo mnara[emoji23][emoji471] tufanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaana hadi leo huamini kama liver ni bingwa? Hivi unahisi ni timu gani inaweza kushindana na liver kwenye ubingwa?Weeee sisi Chelsea hua tunapiga vitu vya bei mbaya atunywi balimi sisi kama nini wa Liverpool, tena msimu huu ndo walevi wengi wameongezeka mkibeba ubingwa itasababisha maafa makubwa maana mutaishia kulewa kwa furaha alafu mutaanguka mutakufa[emoji3][emoji3][emoji3]
Ni bora musibebe ligi ili kuokoa maisha ya fans wengi..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tupige gambe bhana.... Liver ingekuwa inafungwa hovyo tungevuta bangi kama mashabiki wa Arsenal
Atkayenyoosha unistue ninywe badala yake...Wanywaji??? Ivi kuna fans wa apa jukwaani sio mlevi??? Kama yuko anyooshe kidole juu...
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara Trump akianzishe na Ali Khamenei sasa mmehamia kwa Coronavirus yaani huu ubingwa mzee wa Kaskazini hauzuiliki kutuma Anfield...Hivi ichi kirusi cha Corona ci kiingie tu apo Uingereza ili ligi isimame Liverpool asibebe...aaargh yani nagadhibika apa kuona bado akijaingia...
Ila bado mapambano yanaendelea ..na tutahakikisha ligi haiendi mjini Liverpool..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app