Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nikikumbuka watabir humu ndan walivyotabir kwamba le capitain atachezea Sana bench mixer kuandika magazet marefu na statistics zao Za kutosha nabak nacheka tu [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama ukiangalial kiushabiki lazima ucheke, Lakini ukiangalia kimpira basi utafahamu tulichokimaanisha.

Ni kwamba tulikuwa na matumaini makubwa na Keita & OX kuwa wangeleta mabadiliko kwenye Timu.

But imekuwa disappointed kwa Mashabiki kitokana na wachezaji hao kuwa Wodi ya Waginjwa muda mwingi mpaka kupotea kwa vipaji vyao.

Now Hendo ameamua rasmi kuuvaa unahodha na kufanya anachotakiwa kufanya kwani sasahivi tunamuhitaji kuliko wakati wowote ule.

Kwasasa ndani ya Liverpool mbadala wake simuoni Coz kwenye Benchi kuna Lallana pekee.

So, kabla ya kufikiria kucheka kwanza fikiria factors nyingi.

Hendo kwasasa anajitahidi na sote tunamfurahia na kujiamini sasa kusema popote pale This man is our Captain .

Hongera Hendo
 

Una akili sana
 
Man, this Salah agenda is ruining this good thread man..

Happy to see some new faces though, we've come a long way as a team..

Nimeona signature ya Pazi pia, missed you legend..


Tumehit 3m views?? Man thats our trophy, lol we actually run this platform nowdays, LFC thread is the most active sport thread on this site, used to be so jealous of Man utd back then man, walikuwa everywhere kwenye hii platform, but siku hizi we run them on and off the pitch, we're everywhere.


Man, we'll be back in may, just to post some pics of Salah lifting the trophy & will start my firm propaganda for Jordan Brian Henderson kushinda PFA player of the year, just to piss off Don, Zumbe, Captain and Ngwaba.

Oh! Still got 2 more games za kwenda Anfield this season, one being a CL game..

And, just been accepted for a short 3 months Football/Soccer Tactical Anaylist Course. So i'm not just a free scout, Top reds next season get ready ku-argue na certified football anaylist & a match-goer. jokes aside, y'all pray for me, my dream is one day to be a full-time (paid) LFC scout.


Young dudes continue to keep your dreams alive, this young generation is full of winners, and guess what? You're one of them, so keep on pushing, there should be no limits.


God bless y'all.


Man, i love every one of you on this thread. Take care and smile always.





Sent using Jamii Forums mobile app
 

All the best, all the best man.

Certified Football Analyst: Sina ninachoweza kusema zaidi ya kila la kheri, kwangu sihitaji kuona cheti kwako. Maandishi yako ni certificate tosha.

Nina appreciate michango yako, you put things into perspectives in a very simple and understandable language, in my own language.

Sina uhakika kama kuna mtu hapa Bongo anaweza challenge knowledge yako especially on print media.

All the best and thank you for your wishes.

Bless up (in Dj Khaled's voice).
 
Uko sahihi kaka, kwakweli Henderson sasa hivi kawa mtamu balaa, ndo maana mm pale mwanzo baada ya timu kutosajili niliwahi kusema kutoa mchezaji wakati hatujasajili si afya kwa timu kwa lolote laweza kutokea, unakumbuka kipindi kile watu wanatamani lovren auzwe hata mm nilitamani sana Hendo na Lalana nao wauzwe tu, lakini daaaaaah, sasa acha nifute kauli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
salah aondoke tu mkuu, ili ije damu nyingine mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The second goal build-up started with decent footwork from Salah. He contributed to the winning goal. Take note of that.
Mpira alikua anahangaika nao ili apige Hendo ndo akupitia acha kutetea Salah anachelewesha ushindi mbaya zaidi wenzie wote wesha mjua umimi wake. Salah hato fanikiwa zaidi kwa mtindo huu

'mtindilo'
 
We ain't been hard on him. We showing love, if he does the good we praise him and when he does the wrong we need to tell him as well. Yeah he tried shooting to score n didn't work so u try n give an assist that's all we ask.
I speak what i see my big broh mosdef

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli tungefurahi ila ukweli upo palepale Salah anatokesha ushindi mpana kwa ubinafsi wake. Jana first half tulistahiki kuwa na goli angalau 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana wee [emoji28][emoji28][emoji28]

I appreciate you chief [emoji106][emoji18][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…