Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nikiangalia kwa mbaaaali ninaona test 2 tu za kumaliza Ligi unbeaten [emoji23] [emoji23]

1) Leo dhidi ya Wolves
2) Dhidi ya Man City

Tukizipita hizo 2 haki ya Nani tunamaliza Ligi unbeaten

NOTE: Tusileteane habari za ubingwa hapa, Ubingwa tulimalizananao since December.

Sasahivi ni habari za unbeaten tu na si jengine
 
Kweli king Ngwabaa...... Na sasa hv kikubwa tunatafuta record ya kuchukua tittle kwa point gap kuanzia 105+ pts...... #YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
On my Opinion only wolves kwa sasa ndio wanaweza kuchallenge Klopp's masterclass, we are far way more better than this city side
 

That is the language I speak too.
 
kweli tupu. note: City akiendelea kupoteza mechi na reds tukashinda idadi ya mechi za kuthibitisha ubingwa zinapungua.
this time around ubingwa ni wa the reds.
Yeah sisi tushinde game zetu tu, zinaweza zikawa chin ya hata hizo 9 tunazosema kutegemea na matokeo ya city...
 
kweli tupu. note: City akiendelea kupoteza mechi na reds tukashinda idadi ya mechi za kuthibitisha ubingwa zinapungua.
this time around ubingwa ni wa the reds.
Hizo 9 ni kwamba city asipoteze nae game zake na sisi tusipoteze...akipoteza maana yake anazid kupunguza game na kuzifanya chache sana ...muhimu sisi tushinde game zetu tuu...
 
shida ni klopp akichukua league mapema..ataweka nguzu zote uefa..klopp swala la kuvunja records hana mda nalo..
 
Unbeaten wa kweli ni gunners tu....hawa wengine wa zama hizi mmmmmhhhhh....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…