Mm nasema hivi licha ya salah kufunga
Ila hawa mastriker wajitume zaidi
Inaniuma kuwafunga goli mbili hawa
They showed weakness
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu beki wa man u amekimbia sana masihara mbali[emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1327901
Alipopiga mpira ukamkuta salah alianza kukimbia kwenda kushangilia goliAisseeeee hiv Ali Becker aliwezaje kutoa asist alafu akawa wa kwanza kwenda kushangilia na Mo salah[emoji848]
Haiwezekani ngoja niangalie highlight kwanza inawezekana alipaa yule[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshabiki wa man u hawana akiliHahaha Mkuu Niko na shabiki lao hapa goli la firmino kakimbia huku analalamika refa lilipofutwa karudi ..likapigwa la gini kakimbia analalamika refa lilivyofutwa karudi Sasa sijui jamaa ni kuku ama kunguru ngoja tuone
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshabiki wa man u hawana akiliHahaha Mkuu Niko na shabiki lao hapa goli la firmino kakimbia huku analalamika refa lilipofutwa karudi ..likapigwa la gini kakimbia analalamika refa lilivyofutwa karudi Sasa sijui jamaa ni kuku ama kunguru ngoja tuone
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU UNA DHARAU KALI SANA [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mm nasema hivi licha ya salah kufunga
Ila hawa mastriker wajitume zaidi
Inaniuma kuwafunga goli mbili hawa
They showed weakness
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ambavyo wewe huna akili
Ww jamaa una roho mbaya ,hujaridhika na 2-0Mm nasema hivi licha ya salah kufunga
Ila hawa mastriker wajitume zaidi
Inaniuma kuwafunga goli mbili hawa
They showed weakness
Sent using Jamii Forums mobile app
Happy 2020...
2nd goal.salahView attachment 1327930
[emoji3][emoji3][emoji3] halafu na yeye alitaka kudaka mpiraHuyu beki wa man u amekimbia sana masihara mbali
VAR hapa ilitenda haki kabisa...