Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Natamani wawepo wote, huyo Rashid makame ana nini cha ziada mbele ya akina Trent na Gomez?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa timu ya taifa ina msisimko gani hata hao akina samata na msuva wasipocheza au wakicheza? Hivi Tanzania nao tunampira wa kucheza mbele za watu, au tunabebwa tu sera za fairplay?
Sent using Jamii Forums mobile app
doctor na physio si sawa mkuu....... shida yetu nadhan ni hao watu wa physio kwa uelewa wangu!
Huku kwenye team yetu ya Malkia,TAA wa kawaida kabisa benchi anapigwa tu maisha yanakwenda,ila Maestro Hendo ndio ufunguo wetu mkuu kwenye mfumo wetu wa 3-5-2,TAA weusi wake hata Jordon ,Rahem wanao sio kigezo cha consideration ,ukigombana na Rahem tutakuzomea kweli kweli tunachokiangalia nani anaisaidia England sio club yake,mpaka sasa Hendo anatajwa kuwa kiungo bora kabisa duniani na pundits karibu wote na Klop pia sio mara moja kathibitisha hilo ,what a performance .Huyu jamaa hata kama haumpendi wengine tunamuelewa mbaya kabisa ,nikutakie ushindi mnono gemu dhidi ya Utd.Mwanzo nilishituka nilidhani Mchezaji bora wa EPL [emoji23][emoji23]
Lakini kumbe ni Mchezaji bora kwa Wachezaji wa Kiengereza tu! Haina shida as long as washindani wake ni Lingard, Chilwell, Rashford, Madison, Mount, Lallana and c.o. [emoji23] [emo
But namuonea huruma Ndugu yangu Scouser TAA ambaye yupo kwenye kikosi cha Dunia na Ulaya lakini kwenye kijitunzo cha Brexit kaonekana hastahili.
Ni bora asingekuwa Mweusi bali angelizaliwa Mzungu.
Enewey ni Mchezaji wa BT SPORT
Kwani hata sisi tungekua na zaidi ya kina yondani tungewapa nafasi ila sasa ndo hatuna vile ndo waliopo wanakua bora shida ni pale utakapo enda kuwakutanisha na kina ghana ha ha haa wanakua wachumba tuHuku kwenye team yetu ya Malkia,TAA wa kawaida kabisa benchi anapigwa tu maisha yanakwenda,ila Maestro Hendo ndio ufunguo wetu mkuu kwenye mfumo wetu wa 3-5-2,TAA weusi wake hata Jordon ,Rahem wanao sio kigezo cha consideration ,ukigombana na Rahem tutakuzomea kweli kweli tunachokiangalia nani anaisaidia England sio club yake,mpaka sasa Hendo anatajwa kuwa kiungo bora kabisa duniani na pundits karibu wote na Klop pia sio mara moja kathibitisha hilo ,what a performance .Huyu jamaa hata kama haumpendi wengine tunamuelewa mbaya kabisa ,nikutakie ushindi mnono gemu dhidi ya Utd.
Hawa makocha wajinga kweli wanawezaje kumpa nafasi mchezaji asiyeweza kugeuka na mpira na hawezi kubeba majukumu wakati wanaoweza kugeuka wako nje.Nimalize kusema ,Hili ni fumbo kubwa ,kitu wanachokiona makocha kwa Hendo hamuwezi kukiona mpaka muwe makocha.Kwani hata sisi tungekua na zaidi ya kina yondani tungewapa nafasi ila sasa ndo hatuna vile ndo waliopo wanakua bora shida ni pale utakapo enda kuwakutanisha na kina ghana ha ha haa wanakua wachumba tu
Nyie sifieni vibovu tu huku mkijifanya mna penda team huyo mnyoosha vidole uwanjani huku yeye hata kugeuka na mpira anaogopa mnamuona bora utafika huo muda wa kila mchezaji kubeba jukumu lake tutapata majibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Joe Gomez kwa Man Making anayopiga hivi sasa nilitamani sana Rashford awepo tuone hii Battle ingekuaje kama tusingeyaona ya Sterling.Rash ana Bahati ya kutuotea pahali usipopatarajia
"Fairplay policy?" Unamaanisha tunabebwa,tunapendelewa,tunafanyiwa hisani?Sasa timu ya taifa ina msisimko gani hata hao akina samata na msuva wasipocheza au wakicheza? Hivi Tanzania nao tunampira wa kucheza mbele za watu, au tunabebwa tu sera za fairplay?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hofu ya Klopp atampanga Joe Matip.Joe Gomez kwa Man Making anayopiga hivi sasa nilitamani sana Rashford awepo tuone hii Battle ingekuaje kama tusingeyaona ya Sterling.
Polepole anasema kuwa Mzalendo na Sifia chako (Tanzania) 😀😀😀
"Fairplay policy?" Unamaanisha tunabebwa,tunapendelewa,tunafanyiwa hisani?
Hatushindi kimchezo?
Na wewe kama unakiona tuelimishe basi tujue. na kama hukijui hicho wanacho ona makocha acha nibakie na mtazamo wangu.Hawa makocha wajinga kweli wanawezaje kumpa nafasi mchezaji asiyeweza kugeuka na mpira na hawezi kubeba majukumu wakati wanaoweza kugeuka wako nje.Nimalize kusema ,Hili ni fumbo kubwa ,kitu wanachokiona makocha kwa Hendo hamuwezi kukiona mpaka muwe makocha.
Liverpool are lining up a summer move of £107m for Bayer Leverkusen midfielder Kai Havertz, and lead Manchester United, Barcelona and Bayern Munich in the race to sign the 20-year-old Germany international. (Mundo Deportivo, via Mirror)