OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,315
Sawa bwana ngoja tutaona kama mutafanikiwa.Hahahaha una moyo mwepesi mno hii Liverpool usingeiweza kabisa...
Utulie ulipo tuwaonyeshe kazi...
Twawasubiri Anfield tutangaze ubingwa rasmi...
YNWA
Point 100?????Chelsea tunakutana nao May 9, last but one game. Tutakuwa tumeshatangaza matokeo mwezi mmoja kabla.
Umuhimu wa hiyo game itakuwa for record purposes: 100+ points na unbeaten.
Point 100?????
Kichekesho mkuu...
Nyie hata 90 hamtoboi...
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
it makes the best squad in the world..Liverpool have
1. One of the best GK’s in the world
2. Best CB in the world
3. Best RB in the world
4. Best LB in the world
5. Best CDM in the world
6. Best CF in the world
7. Two of the best wingers in the world
8. Best manager in the world.
Appreciate it.
Mpaka sasa tumebakisha robo tu ya safari na dalili ni kwamba tutatoka salama salmini...Sawa bwana ngoja tutaona kama mutafanikiwa.
Kila la kheri..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Mkuu tumepata 97 na kumaliza nafasi ya pili hivyo hio 90 unaosema ni ipi lakini pia kua bingwa Wa Uingereza kwetu ni muhimu kuliko kuwaza hayo ya ma pointi mengi mengi..Point 100?????
Kichekesho mkuu...
Nyie hata 90 hamtoboi...
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi kwa kula kwa masihara unanipoteza humu.
Mauzo ya Ibe, solanke, sakho nayo yalisaidiaHahahahaha mkuu huyo tulipigwa angalau kuwauza Surez na Coutinho tuli recover kiasi cha hio hasara...
Andy alitakiwa akacheze Basketball
Duh Ibe na Solanke walipo bana wamekua Wa hovyo sana hawawasaidii kabisa Bono kutoshuka daraja aisee...Mauzo ya Ibe, solanke, sakho nayo yalisaidia
Illori yupo Sporting Lisbon na Kelly yupo Crystal Palace.
Naona unatafuta Kiki Kwa pikipikiPoint 100?????
Kichekesho mkuu...
Nyie hata 90 hamtoboi...
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi TuIllori yupo Sporting Lisbon na Kelly yupo Crystal Palace.
Wasubiri msimu uisheLFC have refused an £8 million bid from Southampton for Adam Lallana.