Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hiyo sentensi ya mwisho mkuu umenikosha sana kwamba once a red at heart.... Na kweli hata mashabiki wa kule ukiwasikiliza wakiimba Mwanzo mwisho!
Kabisa ndugu sio jambo rahisi kubakia unashabikia timu miaka 30 bila kombe la EPL...

Liverpool mashabiki wake wengi ni wa ukweli ni mashabiki kidakidaki sio plastic fans...

Sasa ni kuja kwa Klopp ambae ni ready made for Liverpool ilikua perfect match kwetu.. His passion, the animation when the game is on, his love for the Anfield City, his effect in and out of the field, the connection with fans, and the list continues...

Tunavuna Kwa uvumilivu wetu...

Ni wakati wa Majogoo kutesa wengine Watajiju...
 
Hahah Kuna hawa majamaa kelele zimeanza upyaa ..tuwataarifu kitakachotokea wiki ijayo au tuwaache kwanza wamalizie kuishi kwa matumaini..[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hata Man city kina Laporte na wengine watakuwa wamesharudi
 
Hahah Kuna hawa majamaa kelele zimeanza upyaa ..tuwataarifu kitakachotokea wiki ijayo au tuwaache kwanza wamalizie kuishi kwa matumaini..[emoji848]View attachment 1321006

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja kwanza wakutane na baunsa Traore jumatano FA awatoe upepo aafu wakija kwetu wanazimwa mapema...

Watakuja na mido ya wachezaji watano na beki watatu haha and Klopp this time is ready...
 
Yeah as long as we are not struggling, there is no need to rush him back
We ain't 'struggling' as boys are working as a unit hata jana Hendo and Gini lost some balls and stray passes here and there but other players were quick to react...

That what will win us games not individual brilliance rather than working as a unit, and the boys have become masters in pocketing 3 points continously...


YNWA
 
"champions of europe, you will never sing that".......


mashabiki wa villa wanawaimbia wale wa city

Sent using Jamii Forums mobile app
Pep was hired to deliver Champions of Europe at Ethad and man has failed dearly...

Perhaps this year is his year to give his all since EPL hana chake tena asubiri msimu ujao...
 
Aaaah, sawa mkuu kuna mdau pia alinifafanulia hivyo hivyo! Maana sisi wengine tunaweza watu wa kuwapa kipigo tu sio wa kuwazidi vikombe! Sasa hivi hata tuna jeuri wa kuwaambia Manure waungane na Chealsick waunde timu moja tuwapige!!
Acha kuandika pumba wewe alafu asubuhi unasalimiwa shikamoo baba unaitika..pumbavu

#CFC[emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…