Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi mnafikiri tumetosheka? Hapana. Tutapiga. Tutaendelea kuwapiga. Tutawapiga hadi mtambae. Narudia tena tutawapiga sana. Klopp hawezi kushangilia vijiushindi hivi vidogo vidogo. Kuna timu tunazidai. Yaani tutazipiga. Point 61 katika mechi 21 si kitu kidogo, ni Premier League special record, ila vijana wanataka zaidi. Mentality iliyopandikizwa kwenye hii timu sio kuridhishwa na ushindi wa goli moja maana tunajua wapinzani wetu mmejipanga kutusimamisha hivyo tunataka tuwapige haswa ili mgundue kwamba kweli mlipambana na Liverpool. Tutawapiga sana. Next stop ni Anfield na tunawakaribisha Manjesta. Tutawapiga.

VOLUME UP TUTAWAPIGA MJUE MNAPAMBANA NA THE BEAST.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Real Madrid tunakutana naye wapi mkuu? Tunayemsubiri si ni Atletico Madrid? Tena tunaanzia kwake, ole wake ajidai kufunga kagoli huko kwake atakuja kukiona cha mtema kuni pale machinjioni!
 
Kwani Real Madrid tunakutana naye wapi mkuu? Tunayemsubiri si ni Atletico Madrid? Tena tunaanzia kwake, ole wake ajidai kufunga kagoli huko kwake atakuja kukiona cha mtema kuni pale machinjioni!
Alikuwa anamaanisha kumsimamisha Real Madrid kwenye idadi ya champions league cups.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa anamaanisha kumsimamisha Real Madrid kwenye idadi ya champions league cups.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah, asante mkuu kwa ufafanuzi! Nikafikri labda bwana mdogo amechanganya madesa! Na mwaka huu tunabeba tena ndoo! Naombea sana safari hii tuingie naye fainali tumgonge mpaka achakae! Sijui mwaka huu fainali inapigiwa uwanja gani?
 
Fainali mwaka huu ni kule 'nyumbani' Turkey Instanbul...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…