Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_7302.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kilichokupitisha hapa nini wewe mjusi usiyekuwa na haya wewe? Mwaka huu mpaka mnyooke!
Forum ya baba yako hii,

Unanunua bando langu hadi unipangie

Hivi liverpool inatoa wap haya matakataka hayajitambui ,yapo yapo tu,mazuzu flan hivi

ukute hili jamaa linakaa kwa shemeji linasubil ugali harafu linavimba hum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeamua kuwa na beef na mashabiki wa timu inayoshinda kila match? JF ikufute u-mod huna maadili ya kazi, nagutombele nokho nashike'aha!
 
Mkuu kweli kwa mwandiko wake huo anaweza kupewa u-moderator? Huyo sio PainKiller ni Pain Killer kuna tofauti na moderator ni PainKiller ambae ID yake haina space in between.
 
Hata mimi nilikuwa najiuliza Mara mbili mbili kumbe ni pumbavu fulani hivi! Linaiga mpaka ID? Bure kabisa, yaani lilikosa ubunifu mpaka likakopi kila kitu! Asante kwa kunifumbua mkuu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom