Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tushabiki twa Liverpool tuna midomo ni hatareee! Tumewaziba midomo wapinzani! Ha ha haaaaa
 
Ivi leo kuna swali lolote kuhusu VAR? Coz kuna Ndorobo zinaletwa na VAR tu Hapa.

Hawana cha kusema sasa maana walisema heti mnamechi ngumu hizo mechi ngumu zao sisi ni mwendo wa clean sheet tu,wanakimbilia kwenye VAR sio tena mechi ngumu.[emoji3] .sasa hivi sijui watajificha wapi hao vinabo?[emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wamepoteana tangu Jana baada ya kuona lile game lilivyopigwa hiyo Jana! Kila timu inajipima na kuwaza tungekuwa sisi tungehimili ule mchakamchaka?
 
Kiongozi hujakosea tunaeleweshanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamepoteana tangu Jana baada ya kuona lile game lilivyopigwa hiyo Jana! Kila timu inajipima na kuwaza tungekuwa sisi tungehimili ule mchakamchaka?
Tatizo hawa watoto wanawajazaga upepo, kila mmoja anataka awe ndio shujaa wa kumfunga liver...

walimjaza leicester , wolves then sheffield...sheffield wagumu ila sio kwa liverpool

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watangazie ubingwa rasmi,timu ya kuifunga Liverpool hapo epl labda itoke sayari ya mars.

Mkuu sasa hivi nikushangilia tu ushindi na kuwasifia tu wachezaji wetu hakuna kingine.


Sent from my iPhone using JamiiForums

Challenge tulizobaki Nazo;

1) Spurs Away
2) Wolves Away
3) Everton Away
4) Mancity Away

Tukifanikiwa kuzipita hizo peacefully basi tutamaliza League unbeaten
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…