GwamahalaJR
JF-Expert Member
- Jul 18, 2019
- 414
- 772
Yashapigwa mbili bila tayari... first half ndiyo yalikaza!Haya MaEverton si yafanye tu kama last season yamuachie Man City points 3 za bure ili ampite Liverpool!!!!
Na mechi ya 49 ni vs CITYMimi sasa hivi nahesabu 49 run unbeaten ya Arsenal. Ikitokea tukafika 49 zinakuwa zimebaki chache sana kumaliza ligi bila kufungwa.
Ila kwa jinsi majeruhi yanavyovamia sidhani kama atamuuza January
Atampitaje sasa?Haya MaEverton si yafanye tu kama last season yamuachie Man City points 3 za bure ili ampite Liverpool!!!!
Kocha anaogopa kumpoteza mazima keita kwa majeruhi kwa kipindi hiki muhimu cha msimu na ndo maana hamchezshi paseee. Anamuhitaji sana ndo maana unaona anampumzisha sana jua katoka majruhi juzi kati tu so akitonesha now basi utashangaa msiku ndo unaisha hvy. So anamlinda kiaina fulani.Keita bado hajiamini pale tutamfaidi akija kukabidhiwa namaba rasmi na hisi Klopp anamnyima uhuru bado.
Shangaa pamoja na kucheza vyema mechi za karibuni juzi kawekwa bechi kanza Lalana lazima ukose comfidensi ukakosa majibu kocha anatakaje ukipangwa huizi funguka ukihofu kumuuzi kocha ndomana hatuoni kipaji chake kwa sasa anafata maelekezo zaidi hajiongezi.
Naomba Minamino asikutane na hii hali tuone ubora wake mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Wiki 4 hadi 6 yule mechi yetu hatakuwepo. Maana anatuoteaga sana yule bora akapumzikeHary kane leo hiyo muscle yake hivi mechi ijayo atakuwa karejea kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Son atakuwepo kifungo kinaisha mechi ya leogame ijayo wana sisi sio?.......
nadhan hata son atakua bado anatumikia kifungo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha ule mshahara wake na matokeo haziendani....hahhahaaaaaa nasubiri kuona bifu lake na levy, wote wana ego sana hawa jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Levy hua anajifanya ni deals maestro lakini dili hii imekula kwake...Humu kuna watu wanamkubali etiYule si mwalimu ni msimamizi tu mwezi tu yayali team haijulikani inacheza je
Kimbembe kina anza kesha anza kutoa kasoro Kene kina Ali wameanza kua wakabaji ha ha haa
Narudia kumpa pole Lev kwa kumpa kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Klopp is managing his squadKeita bado hajiamini pale tutamfaidi akija kukabidhiwa namaba rasmi na hisi Klopp anamnyima uhuru bado.
Shangaa pamoja na kucheza vyema mechi za karibuni juzi kawekwa bechi kanza Lalana lazima ukose comfidensi ukakosa majibu kocha anatakaje ukipangwa huizi funguka ukihofu kumuuzi kocha ndomana hatuoni kipaji chake kwa sasa anafata maelekezo zaidi hajiongezi.
Naomba Minamino asikutane na hii hali tuone ubora wake mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Pep is one kind of funny guy I can tell.. The way he is pushing his team now lol you might think he had taken sabbatical only to come back and find Liverpool at the top bhana...Tukiweza kufika hiyo game, patanoga sana.
Hiyo mechi itakuwa ya msimu.
Painkiller wivu unamwua,, ila wanafanya ukiwatumia kama report. Hiyo sentensi yako ya mwisho hebu Fanya kuwatumia kama report!Hatimaye Moderator wametusikia Trophies zetu zimeongezwa na kama kuna uwezekano hiyo picture ya Liverpool squad 2017 - 2018 muiondoe mtuwekee picha ya FIFA CLUB WORLD CUP hapo.
You are very funny... kwahiyo hizo there points za City ndiyo zitunyime ubingwa?Nyie kuku, mnabahat game ya city var itakuwa ishawapa ubingwa, ila kama mtakuwa hajapewa huku mkisubili point 3 za city ,kazi mnayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Klopp m'baguzi wa rangi ..anam'bagua Keita.Keita bado hajiamini pale tutamfaidi akija kukabidhiwa namaba rasmi na hisi Klopp anamnyima uhuru bado.
Shangaa pamoja na kucheza vyema mechi za karibuni juzi kawekwa bechi kanza Lalana lazima ukose comfidensi ukakosa majibu kocha anatakaje ukipangwa huizi funguka ukihofu kumuuzi kocha ndomana hatuoni kipaji chake kwa sasa anafata maelekezo zaidi hajiongezi.
Naomba Minamino asikutane na hii hali tuone ubora wake mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka hapa!!Klopp m'baguzi wa rangi ..anam'bagua Keita.
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mgonjwa wa akili mwingine huyu hapa! Kila mtu ashinde mechi zake tu hakuna namna!Nyie kuku, mnabahat game ya city var itakuwa ishawapa ubingwa, ila kama mtakuwa hajapewa huku mkisubili point 3 za city ,kazi mnayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app