Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

True Liverpool Fans Will Never Forget The Struggle



When ninapoangalia hii picha nikamuona mchezaji kama Pachecco au Kyrgiakos nanapata pain how far we came from.

Enewey kuna Madogo wanaojifanya Wajuaji ukiwaambia wakutajie wachezaji 5 tu kwenye hiyo picha basi hachomoki, halafu anajifanya kaijua Liverpool kabla Michael Oliver hajawa Referee.
 
Tujikumbushe wachezaji wetu Wa msimu wa 2009 - 2010 na yaliyojili.

Msimu huo tulimaliza ligi EPL tukiwa nafasi ya 7 na pointi 63.

Ilikua ni mara kwanza kwa zaidi ya miaka 10 kumaliza ligi tukiwa nafasi 'mbaya' vile. Kutokana na hayo na mengineo ilibidi Raphael Benitez aachie ngazi.

Manager
Rafael Benitez

Assistant Manager
Sammy Lee


Captain
Steven Gerrard

Msimu huo ulikua Wa 118 tangu klabu yetu pendwa imeanzishwa.

Liverpool Squad 2009-2010

1. Diego Cavalieri
2. Glen Johnson
4. Alberto Aquilani
5. Daniel Agger
8. Steven Gerrard
9. Fernando Torres
10. Andriy Voronin
11. Albert Riera
12. Fabio Aurelio
15. Yossi Benayoun
16. Sotirios Kyrgiakos
17. Maxi Rodriguez
18. Dirk Kuyt
19. Ryan Babel
20. Javier Mascherano
21. Lucas
22. Emiliano Insua
23. Jamie Carragher
24. David N'Gog
25. Pepe Reina
26. Jay Spearing
27. Philipp Degen
28. Damien Plessis
29. Krisztian Nemeth
30. Charles Itandje
31. Nabil El Zhar
32. Stephen Darby
34. Martin Kelly
35. Ryan Flynn
36. Steven Irwin
37. Martin Skrtel
38. Andrea Dossena
39. Nathan Eccleston
40. David Martin
41. Peter Gulacsi
42. Martin Hansen
50. Dani Pacheco
51. Daniel Ayala
52. Mikel San Jose

Hivi wakuu kati hawa wachezaji Wa 2009 2010 ukiachana na Steve G ni nani mwingine anaweza kujipenyeza kwenye kikosi cha sasa.
 
Mkuu usifukue makaburi maana hata mimi utanikamata pamoja na ukongwe wangu kuishabikia Liverpool tangu enzi za akina John Barnes! Tulifika mahali mkuu tukawa kama tumekufa, ushabiki ukabaki jina! Uzuri Liverpool ikishaingia damuni hukomi kuishabikia unabaki unaugulia ndani kwa ndani!
 
Apo namjua Pepe Reina tu...hii Liverpool ilikuwa na wachezaji wa ajabu ajabu mnoo

#CFC[emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The 2011/12 was the worst for us. We finished with a total of 52 points in all 38 games.

This current seaseon (half way through) we are on 55 points, 3 more than what we managed during the 2011/12 season.

Tumetoka mbali sana acha tujidai bana, wanaosema ni mda wao sisi acha tule bata na sisi ni mda wetu.
 
I
Imewekwa kwa ajili ya liver kivipi? Game vs man u orig anachezewa foul man wanaenda kufunga mbona VAR haikusaidia? Aston villa, Watford mbana kote husemj?
 

Hahahaha ndugu yangu utulie hivyo hivyo aisee wenzio huku hayo ya VAR hayatusu..

Niwashauri wote wanaosema tunapendelewa na VAR anwani na ilipo ofisi ya England Premier League wawaandikie au wawatembelee kuwasilisha malalamiko yao.

Wanaweza kuwasilisha malalamiko yao kupitia mitadao ya kijamii au kwenda kwenye ofisi japo kwenda ni Kwa appointment tu hivyo mtuache tumechoka na kelele za VAR nendeni bado mechi nyingi mkawasilishe malalamiko..


Registered Office
The Premier League
Brunel Building
57 North Wharf Road
London
W2 1HQ

Email ni info@premierleague.com

Twitter ni #premierleague

Ofisi za VAR zipo VAR hub Stockley Park West London


In the meantime its coming home 19th EPL
 
Imagine ile hali tuliyokua nayo enzi hizo aafu wanakuja sasa na kila aina ya vimaneno...

Hahaha tutajidai sana tu

Ushindi ni wetu

Wakati ni wetu

From failures to winners lol Klopp is football genius withing 4 years he has assembled quite a solid competitive team here and damn cool staff he has always giving their all...

Manchester United, Chelsea nk macho yanawatoka ndio hao hao walisema Klopp ni specialist in failure baada ya kupoteza fainali League Cup, Europa ndogo, Champions league..

Sasa Leo husikii tena hayo maneno wamehamia kwenye VAR....

We care less...

We rule the world and soon EPL ni yetu..

YNWA
 
mkuu, hapa huyo nyuma ya cole nimemsahau.........


hilo para kushoto kwa cole ni jovanovic sio???.......


namwona babel, aurelio, huyo tall sijui ni kelly.........


ngoja nikumbuke.....

reina,kyrgiakos, x1, kelly, aurelio, x2, jonjo, pacheco, babel, jova, cole......


X1.... simkumbuki kabisa
X2... huyu nimemsahau jina



kazi ya daglish hii......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi hicho Reina alikua na kilo 85 Kwa kweli nilikua nashangaa anakuaje mzito vile aafu ni kipa
 

Tumetoka mbali sana mkuu,kipindi hicho tulikuwa tunajionea sawa tu na kikosi chetu. Huyu beki kygiakos dah,lilikuwa zito sana hilo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Mkuu kuyt, alikuwa mpambanaji sana me ningemfananisha na firmino kwenye kujituma kukaba,maana jamaa alikuwa anamapafu sio ya binadamu wa kawaida.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jurgen Klopp - "Ox is walking around here without crutches, without a boot, but we have to wait until the medical department gives us the green light"

Kwenye mid January majeruhi karibu wote watakuwa wamerudi.hapo sasa itabidi labda timu kutoka mars ndio ije itufunge.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…