Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]man city chelsea leicester wote wamechukua ubingwa miaka ya karibuni na kulikuwa hakun VAR ila mistake hata zikitokea zinakuwa ni chache, sasa watu walitegemea kuwa VAR itakuja kufuta au kupunguza makosa hayo kwa kiasi kikubwa lakini maajabu yake ni kwamba makosa yameongezeka licha ya referee na hao maassistant wake kuwa na muda wa kutosha wa kulichunguza tukio na kulifanyi maamuzi.
Kwa hizo mbeleko hata arsenal au chelsea anaweza kuwa bingwa vizuri tu[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tulifika fainal Sema tulizingua. Yule former manager wa Liverpool Benitez alitufelisha.

#CFC[emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Commentator "Joghino was a lucky man today" hatimaye kaishia kuwafunga ...ukumuona yule Gonduzzi sjui Gudunzi ..alicheza faulo ngap lakin alipeta tu ...Sema refa naye ni binadamu ivyo alifanya fair ...lakini ninyi VAR ni kama imewekwa kwa ajili yenu tu..

#CFC[emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…