Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bangi na tambuu zinawasumbua...

E.P.L umebeba lini? ,licha ya kubebwabewa hovyo na Man city kukandamizwa bado hamuonyeshi threat yeyote ile kwa watu tunaowajua vizuri..

Its a matter of time, mtaanza kuja kutukanana humu, liVARpool ni haina uwezo wa kuwa bingwa wa premier league
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123] Please leo tusiharibiane siku ya Furaha! Naomba Mtu yeyote asiniquote post ya Mijadala ya kimabishano.

Nipo na furaha ya kubeba EPL jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
liVARpool ,, mbeleko fc, mama nibebe, itakapofika may ndio tutajua mbivu na mbichi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mpaka sasa mbichi haipo ngwe ya kwanza tumemaliza huku tunaongoza pointi 13 zaidi ya washindani wetu wanaotukimbiza

Tunda lishaiva nusu, hio Mei tunda lishaliwa na watu Wakanawa na upo uwezekano ubingwa tuakutangaza April mapema tu kwa kikosi hiki mjiandae maumivu tu hakuna namna...

Wakati ni wetu...

YNWA
 
Acheni kubishana na Ollachuga aisee

Team yake inafungwa huko na vitimu vya kitoto

Jana yenyewe wameshinda coz aseno players are dumb as ass

Ndo anakuja humu... Stupid sana ani

Sent using Jamii Forums mobile app
Ollachuga Oc yule ni Liverpool tu ni wale waliotukimbia kipindi tumepoteana sasa nyumbani kumenoga...

Mwende nae taratibu..
 

Izi nguvu unazotumia humu kutamani impossible kuwa possible bora ungekaa kimya ukazihifadhi ili uzitumie hapo May kwa ajili ya kulia pale Liverpool itakapobeba Ubingwa.
 
Huu msimu lazima muwe mabingwa maana njia nyeupe mumeandaliwa ..

"With VAR everything is possible"

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata enzi ya kilele cha mafanikio ya Fergie wapo walioamini baadhi ya marefa walikua wanawapendelea Manchester United na sana sana Webb...

Hivyo hayo ya VAR si jambo geni Kwa vile Liverpool majogoo wanafanya vizuri..

Mti wenye matunda ni ngumu kukwepa kurushiwa mawe...

Tumesheheni matunda murwa kabisa kombe la UCL, Super Cup ulipigika vizuri kabisa na kubwa lao kombe la Dunia Kwa ngazi ya vilabu na tunaongoza ligi Kwa pointi maridadi kabisa 13 na mchezo mkononi.. Sasa mpaka hapo Ollachuga Oc hatutegemei mtukumbali kwamba tunajua mbali mtarusha vimaneno huku na kule ila wenzio hatukatishwi tamaa tupo ngangari kinoma...

YNWA
 

I always tell people, we have been on the other end, I remember times when Fergie was winning everytime, we used to condemn Man Utd fans due to favors they were attracting. Sometimes it was true, though most of the times it was because we were poor in form and we couldn't accept it, so we had to find an excuse.

This time around, we are on this good end, all the universe are conspiring to make sure that EPL is secured, new records are set and we become the Team that we were destined to be.

One question any of us should ask oneself is, wouldn't you say the same if you were on their end?

If the answer is yes you would, then let them release their angers, this is Football.
 
Ni woga ndo unawasumbua. Presha itawaua. [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera mkuu unajua.sana kijifariji! Nina mashaka na brain yako mkuu! Inawezekana ulitungwa mimba wakati wazee wakiwa wamepiga Kayoga!
 
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]

Wakae kimya eh wamezidi mkuu

Na sisi hatuwezi kukaa kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]

Wakae kimya eh wamezidi mkuu

Na sisi hatuwezi kukaa kimya

Sent using Jamii Forums mobile app

Nachokwambia ni kwamba wasikukasirishe, maana hata wewe ungekuwa mshabiki wa upande pinzani ungeyasema haya wanayoyasema kwa sasa.

Binafsi nisingeacha kuilalamikia VAR kama ningekuwa mshabiki tofauti na Liverpool, hivyo nawaacha wapate pa kupunguzia hasira zao.
 
Utaahira wao ni pale inapoamua kuinyima goli Liverpool wanavyoshangilia! Jana tu kwenyewe kwenye vibanda umiza wakati tunasubiri majibu ya VAR kuhusu pass ya Lallana walivyokuwa wanapiga mayowe!
 
Hili mbona linaeleweka
 
Utaahira wao ni pale inapoamua kuinyima goli Liverpool wanavyoshangilia! Jana tu kwenyewe kwenye vibanda umiza wakati tunasubiri majibu ya VAR kuhusu pass ya Lallana walivyokuwa wanapiga mayowe!

Mkuu kwani ungekuwa wewe usingeshangilia?

Timu inapokuwa bora kiasi hiki ch Liverpool, kila mpinzani anatamani kuona ikifungwa au haifungi.

Waelewe tu, wako katika kipindi kigumu.
 
Mkuu kwani ungekuwa wewe usingeshangilia?

Timu inapokuwa bora kiasi hiki ch Liverpool, kila mpinzani anatamani kuona ikifungwa au haifungi.

Waelewe tu, wako katika kipindi kigumu.
Wakumbuke mkuu na sisi huko waliko tulipitia tena kwa muda mrefu sana! Wavumilie tu "it is out time now to rejoice and be happy" let us enjoy the joy of love to our team and the squad at large (Amoris Laetitia di Liverpool). Manure kiroho kinawaumaaaa!! We are back with supersonic speed to where we used to!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…