Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Today we have the English Messi replacing him bro so chill HahahaIvi Keita nayeye anafanyiwa rotation au? Ni kweli amecheza mechi nyingi kiasi ya kuwa amechoka?
Waiting for someone aseme napretend I know much than Klopp
magoli mangap ya liver var imekataa?......Yan Leo uzuri wenu wote umefutika Dunia nzima imeona ni jinsi gani mnavobebwa du! Very shameful yani!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana defence that tall legged 9 Wa chelsea mpaka ana turn wanamwangalia tu..Wameongoza muda mrefu wanakuja kuchomoa betri dakika za majeruhi? Bure kabisa! Tutawapiga sana mwaka huu!
wolves wana pesa kuliko dortmound........Nadhani pesa zinaficha uwezo halisi wa makocha, najaribu kuwaza Nuno angekuwa ndio ana wachezaji kama wa liver na Klop awe na hawa wachezaji wa buku jero wa Wolves, je Klop angesikika popote?.
Sent using Jamii Forums mobile app
magoli mangap ya liver var imekataa?......
watu kweli ni wa ajabu aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
wolves wana pesa kuliko dortmound........
kwaio klop pale dort alikua kilaza? kuwa na akili mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ni jamvini aisee kila mmoja na uelewa wake..Nimeshasoma tabia za Watu humu kwenye Group ndiyomana nikaitanguliza hiyo paragraph ya mwisho.
Imagine humu kumeibuka washabiki kuanzia last season wamefika pahali wamenichukia mimi pamoja na ninachokiandika kisa tu nilikiwa namkosoa Henderson.
Sijengi picha hao ni watu wa aina gani!! Unamchukia Mtu just kwa kutofautiana Mitazamo tu??? Oh my God.
Kwa hiyo ulitaka sisi ndio tufungwe goli ambalo siyo halali? Manure mwaka huu mtakufa kwa kihoro! Na hapo bado tuna kiporo!Leo aibu kubwa sana mmeipata ,kwanza beki wenu kanawa Mpira kabla ajatoa pasi bado hajaonekana!!mmebeeeeebwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
V.A.R imewadhulumu goli Wolves.
VAR ipo kazini 🤪🤪
Sent from my iPhone using JamiiForums
Siyo kunawa pale kadaka kabisaLeo aibu kubwa sana mmeipata ,kwanza beki wenu kanawa Mpira kabla ajatoa pasi bado hajaonekana!!mmebeeeeebwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo aibu kubwa sana mmeipata ,kwanza beki wenu kanawa Mpira kabla ajatoa pasi bado hajaonekana!!mmebeeeeebwa!
Sent using Jamii Forums mobile app