Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Lallana ni mzito sana hana mbio au mamuuzi ya haraka na anacheza upande wa Trent lol may he prove otherwise, he is the odd one out..
Ivi Keita nayeye anafanyiwa rotation au? Ni kweli amecheza mechi nyingi kiasi ya kuwa amechoka?
Waiting for someone aseme napretend I know much than Klopp
labda anamlinda na majeruhi....... amecheza mfululizo karibuni, isije kuwa ya chombo!Ivi Keita nayeye anafanyiwa rotation au? Ni kweli amecheza mechi nyingi kiasi ya kuwa amechoka?
Waiting for someone aseme napretend I know much than Klopp
Mashaka ya nini uwe na amani.