Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
All matches anazocheza Keita huwa tunaingia na offensive approach, Keita, Alex, Lallana na Minamino ni most offensive mid-fielders we have
Mimi nadhani kama timu tupo kwenye peak ambayo hata nani acheze wapi tutashinda tu.ngoja nichokonoe mapovu ya wadau hapa..... hahahaaa!!
am not sure about this stat but it's alleged that tangu Hendo recently alipoanza kucheza as a DM baada ya Fabi kuumia, LFC imeweza kupata clean sheets kwenye hizo games zote.
kama hii stat ni sahihi, swali linakuja....
je, is it a coincidence or Hendo's impact after position switch?
mapovu kutoka pande zote ruksaa!!
ngoja nichokonoe mapovu ya wadau hapa..... hahahaaa!!

Mimi nadhani kama timu tupo kwenye peak ambayo hata nani acheze wapi tutashinda tu.
Lakini Hendo kawa mtamu sana kipindi hiki...
Sent using Jamii Forums mobile app
ngoja nichokonoe mapovu ya wadau hapa..... hahahaaa!!
am not sure about this stat but it's alleged that tangu Hendo recently alipoanza kucheza as a DM baada ya Fabi kuumia, LFC imeweza kupata clean sheets kwenye hizo games zote.
kama hii stat ni sahihi, swali linakuja....
je, is it a coincidence or Hendo's impact after position switch?
mapovu kutoka pande zote ruksaa!!
coincidence mkuu..........ngoja nichokonoe mapovu ya wadau hapa..... hahahaaa!!
am not sure about this stat but it's alleged that tangu Hendo recently alipoanza kucheza as a DM baada ya Fabi kuumia, LFC imeweza kupata clean sheets kwenye hizo games zote.
kama hii stat ni sahihi, swali linakuja....
je, is it a coincidence or Hendo's impact after position switch?
mapovu kutoka pande zote ruksaa!!
Kitu pekee ninachokifurahia kwasasa ni kuona Washabiki wenzangu wa Liverpool wameachana na ile Mentality ya "Kila Timu Itadondosha Points" ha ha ha ha.
Nakumbuka last season tukiwa tunaongoza kwa points 7 hadi January na tukaanza kutoa Draw za kiajabuajabu tukapiga Mayowe kuwa hizi draw zitatucost kwenye ubibgwa!
Waliibuka Watu akiwemo Klopp mwenyewe na Mentality ya kuwa 'Kila Timu Itadrop Points akiwemo Man City'.
Ndiyo hapoa Haters wakatuibulia msemo wa kuwa "KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE" huku kina Everton na Manure wakipanua miguu tu ili wagongwe na Man City watukomoe sisi.
Hatimae mwisho wa Msimu wengine tulidondokwa na Machozi.
Lakini Msimu huu kuanzia Klopp mwenyewe na Mshabiki yeyote yule wa Liverpool sidhani kama yupo mwenye Mentality ya kuwa Kila Timu itandosha point.
Bali sasahivi tuna "Mentality Monster" ya kushinda kila mechi, si ndiyo?
Labda niulize tu yupo mshabiki mwenye Mentality ya kuwa "KILA TIMU ITADROP POINT"?
Kuna siku nilisema humu kwamba hata nikipangwa mimi kwenye kikosi lazima tutashinda.
Na mm nilikuuliza utacheza namba ngapi ilinijue utamueka bench nani?[emoji3]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ha ha ha ha mjadala wa Salah umepamba Moto! japo tuagree kudisagree ukweli usiofichika juu ya kuwa Salah ana weakness zake uwanjani, still ni undropable.
Tukiangali interm of advantage v/s disadvantage basi Salah ana advantage nyingi anazo-offer kuliko disadvantage.
Mtu hawezi kunishawishi Mimi wa Klopp kuwa eti Salah aanzie Bench ili aanze Origi au Xhaqiri.
Fu.ck! Origi and Xhaqiri ahead of Salah??? Tuweni serious jamani!!!!
Hakuna Timu isiyotamani kuwa na Salah huo ndiyo ukweli.
Kuna wachezaji tuweni wakweli tu hata tukiwachukia vipi lazima wataanza tu coz hatuna upgrade wao.
1) Wa kwanza ni Salah! Kwasasa hatuna mbadala wa Salah, kwahiyo hata iweje lazima ataanza tu! Huwezi sema kuwa eti aanze Origi au Xhaqiri mbele ya Salah! Stats za Salah za kufunga, kuassist na kucreate nafasi zinaongea.
2) Wa pili ni Henderson! Huyu haiwezekani kuekwa benchi coz hatuna mbadala wake.
Nilihisi OX atakuja kuwa mbadala wake lakini ukweli usiofichikia OX ni failed project (Due to injury).
Narudia tena OX ni failed project.
That's Why unanikuta namkosoa sana Henderson lakini mimi mwenyewe sikubali aekwe Benchi, Naamini FXI yetu haiwezi kutimia mpaka awemo Hendo. Sio kwamba ni Bonge la mchezaji! Bali ni kwamba hatuna mbadala wake.