Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Ha ha ha ha mjadala wa Salah umepamba Moto! japo tuagree kudisagree ukweli usiofichika juu ya kuwa Salah ana weakness zake uwanjani, still ni undropable.
Tukiangali interm of advantage v/s disadvantage basi Salah ana advantage nyingi anazo-offer kuliko disadvantage.
Mtu hawezi kunishawishi Mimi wa Klopp kuwa eti Salah aanzie Bench ili aanze Origi au Xhaqiri.
Fu.ck! Origi and Xhaqiri ahead of Salah??? Tuweni serious jamani!!!!
Hakuna Timu isiyotamani kuwa na Salah huo ndiyo ukweli.
Kuna wachezaji tuweni wakweli tu hata tukiwachukia vipi lazima wataanza tu coz hatuna upgrade wao.
1) Wa kwanza ni Salah! Kwasasa hatuna mbadala wa Salah, kwahiyo hata iweje lazima ataanza tu! Huwezi sema kuwa eti aanze Origi au Xhaqiri mbele ya Salah! Stats za Salah za kufunga, kuassist na kucreate nafasi zinaongea.
2) Wa pili ni Henderson! Huyu haiwezekani kuekwa benchi coz hatuna mbadala wake.
Nilihisi OX atakuja kuwa mbadala wake lakini ukweli usiofichikia OX ni failed project (Due to injury).
Narudia tena OX ni failed project.
That's Why unanikuta namkosoa sana Henderson lakini mimi mwenyewe sikubali aekwe Benchi, Naamini FXI yetu haiwezi kutimia mpaka awemo Hendo. Sio kwamba ni Bonge la mchezaji! Bali ni kwamba hatuna mbadala wake.
I understand you brother..MosDef naona leo kawashukia watu mazima mazima.
Kuna mida Mo Salah anazinguaga, mahali pa kutoa pasi analazimisha kupiga wakati wenzake wako very open, kuna dribbles anafanya kwenye msitu wa watu hazifanikiwi lakini atarudia tena na tena.
Recently, ameanza pasi za visigino, ambazo nyingi zinakuwa zinapotea.
Hii tabia ya eti mchezaji fulani hatakiwi kusemwa kwa sababu ni World Class I personally disagree with it. Kwa sababu huu ndiyo mwanzo wa kutengeneza monsters.
Mtanikosoa kwa hili: Kuna times Mo alikuwa ni mchoyo kupindukia na Klopp alikuwa hazungumzi kitu mpaka Sadio akaamua kui address kwa kuonyesha frustrations baada ya kutolewa, atleast from there kajitahidi kubadilika.
So, every player should be hold accountable.
Unfortunately, watu wanaangalia "disadvantages" tu za Salah uwanjani, he's a special player, you cant treat him like bums ambao tumekuwa nao for the last 10 years bila kutupa kombe lolote la MAANA.Ha ha ha ha mjadala wa Salah umepamba Moto! japo tuagree kudisagree ukweli usiofichika juu ya kuwa Salah ana weakness zake uwanjani, still ni undropable.
Tukiangali interm of advantage v/s disadvantage basi Salah ana advantage nyingi anazo-offer kuliko disadvantage.
Mtu hawezi kunishawishi Mimi wa Klopp kuwa eti Salah aanzie Bench ili aanze Origi au Xhaqiri.
Fu.ck! Origi and Xhaqiri ahead of Salah??? Tuweni serious jamani!!!!
Hakuna Timu isiyotamani kuwa na Salah huo ndiyo ukweli.
Kuna wachezaji tuweni wakweli tu hata tukiwachukia vipi lazima wataanza tu coz hatuna upgrade wao.
1) Wa kwanza ni Salah! Kwasasa hatuna mbadala wa Salah, kwahiyo hata iweje lazima ataanza tu! Huwezi sema kuwa eti aanze Origi au Xhaqiri mbele ya Salah! Stats za Salah za kufunga, kuassist na kucreate nafasi zinaongea.
2) Wa pili ni Henderson! Huyu haiwezekani kuekwa benchi coz hatuna mbadala wake.
Nilihisi OX atakuja kuwa mbadala wake lakini ukweli usiofichikia OX ni failed project (Due to injury).
Narudia tena OX ni failed project.
That's Why unanikuta namkosoa sana Henderson lakini mimi mwenyewe sikubali aekwe Benchi, Naamini FXI yetu haiwezi kutimia mpaka awemo Hendo. Sio kwamba ni Bonge la mchezaji! Bali ni kwamba hatuna mbadala wake.
I understand you brother..
But, again kuna utofauti mkubwa sana, kati ya ku-dismiss NA ku-criticize, Salah is being dismissed.
Brother, ukiachana na his WC status, salah ni LFC's employee, so hawezi kukwepa kukosolewa hata kidogo, personally nimemkosoa kabla na nitaendelea kumkosoa kila atakapozingua, but i'll never DISMISS him kabisa, i'll never have an AGENDA against him because ya bad patches za muda mfupi tu..
Hahaha grandpa left Salah out of his squad bana but his side is also a killer one...
Hahahah! ALBERTO MORENO1 year before this(if am not mistaken) we signed Moreno.. i remember you were so happy about this signing and a matter of fact the guy ditched man u..
I guess ndo player pekee aliyetuangusha so far
Hahaha Crystal couldn't say no to that fat pay cheque bana and Manchester United though lost now they are known for winning mentality all along until babu Fergie said enough...Wan Bissaka is a good defender.
He's just not good going forward.
But, he's a good defender.
He just chose club mbaya for his development.
Sent using Jamii Forums mobile app
I was out here criticizing Salah kwenye msimu wake wa kwanza kabisa aliofikisha more than 40 goals, so sidhani kama kuna kitu kitanizuia kutomkosoa Salah now, but it depends na jinsi uvyotaka kumkosoa..Okay, I think sikuwa nimetofautisha criticism na dismis. Sijawahi na sitawahi kufika level ya dismiss kwa front 3 yetu.
Ninachotaka ni kuona wakiwa hold responsible kwa makosa ambayo yanatokea uwanjani, hata kwa kuambiwa, najua kuna video reviews, I don't know whether they address these issues, lakini kujirudia rudia inakuwa kama haziwi addressed.
Baada ya Sadio kumlalamikia Salah, kuna incidences kadhaa ambazo Salah alianza kuwa anatoa pasi mahali ambapo angeshoot, tena kuna moja alikuwa na clear chance akampa Sadio, Sadio akapoteza, matukio ya Salah kuanza kugawa pasi ovyo yaliniambia kabisa kwamba hizi issue haziwi discussed.
All in all, ninamhitaji Salah anytime of the day, game ya Salzburg, Salah alikosa clear chances zaidi ya 6 kabla ya kufunga, kuna watu tulikuwa tunaangalia nao mpira wakawa wanalalamika kwamba Salah atoke, mimi nikawa nawaambia Salah atatupa goli, na kweli alifunga.
Kwa sasa nadhani amepunguza ile ya "know the timing of passing and shooting".
Hahahah..ilikuwa lazma amuweke Shearer ili ku-complete his english core.Hahaha grandpa left Salah out of his squad bana but his side is also a killer one...
Hahaha Shearer haha real gem in his days..Hahahah..ilikuwa lazma amuweke Shearer ili ku-complete his english core.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shearer was good, but aligoma kutoka kwenye his comfort zone, alikuwa anaogopa kuji-test kwenye the so called "BIG" clubs.Hahaha Shearer haha real gem in his days..
Kane trying to pass the great man records, if he can stay fit then he might be up there and be the UK greatest..
I was out here criticizing Salah kwenye msimu wake wa kwanza kabisa aliofikisha more than 40 goals, so sidhani kama kuna kitu kitanizuia kutomkosoa Salah now, but it depends na jinsi uvyotaka kumkosoa..
So, Mane was right to yell at Salah siku ile? How many Salah's chances Mane ameziharibu? How many times Mane alishindwa kutoa pass za mwisho kwa Salah? SALAH alishawahi kulalamika?
Salah's playing style haijabadilika hata kidogo, Klopp just decided kumuondolea Salah uzito wa kuwa the last man standing kwenye opponent box kwenye 433, kitu ambacho in a negative way kimeathiri uchezaji wa Salah, but humuoni aki-complain, he always smiles & continue to try his level best to win us games..
He will always held responsible, hana exception yeyote, but hold him responsible kwa vitu ambayo vinaonekana, for example he TERRIBLE against Leicester, but he WASNT selfish.
Sent using Jamii Forums mobile app
Trent was superb y'day and his rating zipo correct kabisa.
But, Gomez was MOTM for me, he pinned down every Vardy channels, Leicester failed to attempt any meaningful counter through Vardy, as Gomez was always there to time his runs.
Keita, moved the show y'day, brother that Kid is so talented & special, and bado hayupo hata 100% fit.
Gomez/Keita/VVD/Andy ratings should be higher..
Gini ratings should be lower than that, he ghosted y'day, but its understandable because ametoka kwenye injuries..
Sent using Jamii Forums mobile app
I think Salah & Mane, wana friendly competition, everyone wants to be better zaidi ya mwenzake katika ufungaji, and thats a good thing, because wanafanya kila wawezalo kujaribu kufunga goals nyingi kadri wanavyoweza.Mane was very wrong, lakini there are times confrontation ni best way ya kusolve issues, especially kama ni recurring na ukute walishaijadili mara nyingi.
Sadio na Salah, I don't know, chemistry yao siisomi vizuri, nadhani Sadio pia ana kitu kama wivu kwa Salah au la. Those people wanaunganishwa na mpira tu lakini body language haiko sawa kati yao, na inatupunguzia idadi ya magoli.
Firmino is the best, ni moja ya wachezaji ambao hawako kwaengo la kujaza statistics. Na anajitahidi sana kufanya linkup kati ya Salah na Sadio.
All matches anazocheza Keita huwa tunaingia na offensive approach, Keita, Alex, Lallana na Minamino ni most offensive mid-fielders we haveSalah hakuna wa kumweka benchi, hilo halina ubishi. Mimi binafsi nachotamani ni kuona kocha aki-address hizo issue kwa kumwomba abadilike, apunguze kutafuta magoli kwa ajili ya kujaza statistics.
Naamini Salah akipigiwa kelele na kocha kuhusu kupunguza uchoyo na ku-shoot mahali ambapo sipo tutakuwa na timu inayotisha.
Kuhusu Henderson kwa sasa nahisi katufunga midomo wengi kwa kiwango alichoonesha mechi kadhaa, ana pasi zake sasa hivi anapiga kama quarterbacks kwenye American Football, ni shida sana. Mungu amjalie aendeleze huu moto, tunauhitaji kwenye kuvunja records. Fabinho akipona sijui itakuwaje kati ya Gini, Keita (machine hii) na Henderson.
Niliwahi kuzungumzia jinsi Firmino anavyojaribu kufanya visigino, mbwembwe ambazo ni unnecessary na akawa anapoteza sana possession. Mechi kama 5 zilizopita kaacha hizo mambo na concentration yake iko super.
I think Salah & Mane, wana friendly competition, everyone wants to be better zaidi ya mwenzake katika ufungaji, and thats a good thing, because wanafanya kila wawezalo kujaribu kufunga goals nyingi kadri wanavyoweza.
They're winners, na winners mara nyingi huwa wanapenda kuwa better kwenye kila kitu, i like their competition, its so healthy..
Firmino, one of the best thing kuwahi kutokea at LFC..
Sent using Jamii Forums mobile app