AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,319
- 4,146
Salah ndo ana kariba hiyo ya kizani kitokufunga basi ndo umechemka na ndio maana asipofunga anakuwa selfish zaidi but mane hanaga hizo afunge asifunge moto wake utauona...Yah man..bolded.Kuwa out of form ni kucheza vibaya...So far Mane hayupo out of form.Anacheza vizuri ingawa hafungi...na timu inashinda.Some players miss that fighting spirit..they are desperate to score as the only way to remain on news...Its easy for those players to be seen out of form when they do not score since its their only way to "play good"..Mane is not that kind of player
Kabisa ndugu Mane japo hajafunga jana hio haimpi kutokua mchezoni na ku 'flop' kiasi Klopp au sisi tuseme bora awe nje, ukumbuke hawa jamaa wametoka Doha ambapo walipambana na timu zenye mifumo tofauti na mabingwa kutoka mabara tofauti.. Jana tu pale hakika walijitahidi sana wote Kwa pamoja...Yah man..bolded.Kuwa out of form ni kucheza vibaya...So far Mane hayupo out of form.Anacheza vizuri ingawa hafungi...na timu inashinda.Some players miss that fighting spirit..they are desperate to score as the only way to remain on news...Its easy for those players to be seen out of form when they do not score since its their only way to "play good"..Mane is not that kind of player
View attachment 1304954View attachment 1304955View attachment 1304956
Hahaha ukuta Wa Berlin jana Vardy hajakatiza kila akichungulia hakuna pa kupita...
Namuona Allison with Cuban cigar
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua wapiga Ramli baada ya kukosea December watasema January hatuchomoki
Uwepo wa hao watatu huifanya team pinzani ijisahau maana wanakuwa makini na hao tu hivyo kurahisisha wachezaji wengine ku create other chancesKabisa ndugu Mane japo hajafunga jana hio haimpi kutokua mchezoni na ku 'flop' kiasi Klopp au sisi tuseme bora awe nje, ukumbuke hawa jamaa wametoka Doha ambapo walipambana na timu zenye mifumo tofauti na mabingwa kutoka mabara tofauti.. Jana tu pale hakika walijitahidi sana wote Kwa pamoja...
Salah nilimsema hakua mchezoni kujua tupo ugenini na tulihitaji kuiua ile game mapema sana ukumbuke Lecister pale kwake msimu huu hawafungiki wako vizuri Sana hivyo nafasi zikipatikana kuwamaliza ilitakiwa vijana wawe clinical and kill the game..
Kazi kuu ya forward ni kufunga hilo haina mjadala ndio wasipofunga tunasema huu upepo sio bla bla nk...
Kwa mfumo wa Klopp ukimuacha Salah wengine wote hua wanashiriki kufuata mpira nyuma na kumtafuta alipo Salah mbele kusudi apige kaunta ndio system ya Klopp ilivyo ukiangalia mpira Kwa makini utaona Firmino ama Mane mara kibao wapo nyuma kutafuta mpira na kuanzisha mashambulizi...
Hii kazi Mane na Firmino hakika wanaitendea haki sana...they are just irreplaceable...
Kwangu I will choose Salah, Mane and Firmino pale mbele any day of the week..
Thier work rate is next to none.. Week in week out they put thier best..
Hii jeuri tuliyonayo ni Kwa sababu ya bidii zao uwanjani...
nyie Kuku mnajidai sana msimu huu sisi wana Arsenal tunawatamani mnooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnawashindwa B'mouth alafu ukamtake bingwa wa dunia [emoji23] [emoji23]nyie Kuku mnajidai sana msimu huu sisi wana Arsenal tunawatamani mnooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo kilichobakia. Mtasema nn tena? Mlianza na "mara yenu ya mwisho lini kubeba kombe?" Saa hii imebaki "baada ya miaka 30 ndo mnachukua". [emoji23] [emoji23] pole ndugu.1 EPL TITLE EVERY AFTER 30 YEARS. NI AIBU.
si kapoteza mech moja tu? ile alofungwa na celticGerrard ameshajitahidi kadri ya uwezo wake, kilichobakia ni kuwa Celtic ni sawa n PSG, Juventus na Bayern kwenye ligi zao husika.
Gerrard amezidiwa kiuwekezaji tu
Duh umetafsiri moja kwa moja kiswahili kwenda kiingereza, lugha ya watu si mara zote iko hivyo.1 EPL TITLE EVERY AFTER 30 YEARS. NI AIBU.
Kwani uongo?Ndo kilichobakia. Mtasema nn tena? Mlianza na "mara yenu ya mwisho lini kubeba kombe?" Saa hii imebaki "baada ya miaka 30 ndo mnachukua". [emoji23] [emoji23] pole ndugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa?Duh umetafsiri moja kwa moja kiswahili kwenda kiingereza, lugha ya watu si mara zote iko hivyo.
Ndo kilichobakia. Mtasema nn tena? Mlianza na "mara yenu ya mwisho lini kubeba kombe?" Saa hii imebaki "baada ya miaka 30 ndo mnachukua". [emoji23] [emoji23] pole ndugu.
Sent using Jamii Forums mobile app