Wachezaji wenzake wanamkubali Sana.
Tafuta link za Liverpool ukasome. Hawajaandika waswahili. Wameondoka wataalam.
Wachezaji wanajua kaptain wao hapendwi na mashabiki.
Naomba nikuulize swali mkuu, hivi ni captain gani umewahi kusikia anatetewa na wachezaji wenzake kila mara?
Na ninaamini moja ya challenge aliyonayo Klopp ni Hendo, najua hana namna lakini angekuwa na namna angeshaachana na hilo garasha.
Muda utafika tutakuwa na timu yenye captain. Sasa hivi mimi nahesabu hatuna captain.
Na ninaamini moja ya challenge aliyonayo Klopp ni Hendo, najua hana namna lakini angekuwa na namna angeshaachana na hilo garasha.
Muda utafika tutakuwa na timu yenye captain. Sasa hivi mimi nahesabu hatuna captain.
Ngwaba nimecheka sana hahahahaaaaaKama alivyopigwa Mtu kwa Caroll na Maguire, Karibu atapigwa Mtu kwa Chilwell na Madison
again, a word to the wise.... "be careful what you wish for".
in August 2017, our distinguished redmen profusely attacked Hendo.....
View attachment 1303130
fast forward 28 months later, Hendo's position has never appeared to be in any sort of threat while Keita's contribution has been on/off due to a combination of injuries & poor form.
Ha ha ha ha haaaa tumefikia hapo mkuu nlijua kupenda upofu kwenye mahaba tu ha ha ha haaa nimecheka sana yaniMkuu like seriously Keita Ana poor form????
Najua unampenda Hendo ila for this man your too wrong khaa
Ha ha ha ha haaaa tumefikia hapo mkuu nlijua kupenda upofu kwenye mahaba tu ha ha ha haaa nimecheka sana yani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani hao wanakaribia kupigwa?Kama alivyopigwa Mtu kwa Caroll na Maguire, Karibu atapigwa Mtu kwa Chilwell na Madison
Hizo kasoro usitaje mkuu utaambiwa hupendi wachezaji sasa sijui kati ya Liver fc na mchezaji kipi kina stahili kupendwaa?Hendo is our captain and we love him, his problem is lacking technical abilities especially when is partnered with Gin and Milner. He can't create space for himself to pick a better pass or dribble out of opposition presses, poor passing choices wakatiwa timu inashambulia with his right, left and back passes.
Outside the pitch ni good leader,
Hakika mkuu tunaiependa sana Club na wachezaji wote lakin mapenzi haya hayajustfy machezaji anapoboronga tusimseme na tunaokosoa ni kwa sababu we love the Club na tunakiu ya kuona club inafanya vizuri zaidi.Hizo kasoro usitaje mkuu utaambiwa hupendi wachezaji sasa sijui kati ya Liver fc na mchezaji kipi kina stahili kupendwaa?
Upande wangu napenda Club mchezaji yeyote yule kama haleti matokeo namponda napengeza wote mnaopenda majina ya wachezaji ha ha haaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alikuwa ni winger mzuri, mwisho alikimbilia Ureno. Sijamsikia tena.Duuu tumetoka mbali aisee...
Aquilani ilikua moja ya usajili wa hasara kwetu..
Caroli haha walitupiga £35m Kwa lipi haswaaa...
Reira walitofautiana na Benitez hakukaa sana akauzwa...