Our next 6 matches ni make or breakNa timu inayopambana sana kwetu ndio powa meaning hawatakaa kutusubiri tuwafuate..
It's will be an open game..
Ushindi upo..
Winning is like dope man if u win and win you become addicted..
Winning at Doha will push the boys to keep believing huu msimu upo mikononi mwetu..
Game Kwangu naona imekaa kimtego ni ya Wolverhampton lol wale jamaa hua ni usumbufu tosha..
Hendo is not even in top 7 players for the current squadHilo hilo tu Mkuu, achana na hizo kelele tumeshakubaliana kwamba tuwaheshimu wachezaji wote. Sasa wewe kila siku unashusha nyuzi za Hendo kana kwamba unafurahia kukwaza watu hapa jukwaani! Ujue mkuu huwa kuna jini la fitina, ambalo likiona mahali pa na furaha linajichomeka katikati ili kuvuruga furaha, sasa naona limekukalia ndio maana kila wakati unashusha hayo mashudu yako!
Nikupe taarifa tu origi ameongeza mkataba mwaka jana wa miaka minne.Hahaha duuh Mkuu King hivi husisimki ukiwataja hao wachezaji uchwara Wa enzi hizo maana tulipotea haswaaa imagine unamuuza Surez jembe unaleta Lambert na Super Mario man that was us in the darkest period...
Kwangu Lallana, Hendo, Origi are just damn lucky to still be here and rubbing shoulders with the like of VVD, Allison, Mane, Fabby nk maana ni wachezaji Wa kawaida mno tena mno.. But for Klopp he has found a way of mixing the team and get the best of this boys regardless of their different levels...
With Klopp now here to 2024 am sure we will be seeing more upgrade to what we currently have..
And also we have to plan for life without some of our super stars wakiumua to search for new challenges.. Hatuwezi kuwategemea akina Lallana, Origi, Chamberlain, Shaqir...
Klopp wasn't brought to manage mediocre players ndio maana mdogo mdogo amekua akiuza au kuwaacha bure na kununua viwango anavyohitaji..
In Klopp we trust...
Hey, unbeaten fuvken club its time to drop point this round
Camooon foxes this week ,hawa Kuku waliwe b4 new year
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu kuna watu wengi wajingawajinga tu, msinichukulie vibaya ila Hamuheshim wachezaji wenu
Unakuta lijitu linamchukia mchezaji wa timu wake bila sababu yoyote au sababu za kijingakijinga
Mpaka unajiuliza ivi inaakili kweli
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nikupe taarifa tu origi ameongeza mkataba mwaka jana wa miaka minne.
Nadhan tumeelewana asistant coach wa klopp
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu kuna watu wengi wajingawajinga tu, msinichukulie vibaya ila Hamuheshim wachezaji wenu
Unakuta lijitu linamchukia mchezaji wa timu wake bila sababu yoyote au sababu za kijingakijinga
Mpaka unajiuliza ivi inaakili kweli
Sent from my iPhone using JamiiForums
umechange tena jina mkuuHongereni wakuu kwa kuchukua Club the World Cup. Safari lazima tukomee[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji485][emoji485]
Utakuwa unawatakia balaa hapo Wolves! Hii timu sasa hivi haikamatiki kirahisi!Hey, unbeaten fuvken club its time to drop point this round
Camooon foxes this week ,hawa Kuku waliwe b4 new year
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lfc ya msimu huu mtaiona ikibeba vikombe huku mkiendeleza roho mbayaHey, unbeaten fuvken club its time to drop point this round
Camooon foxes this week ,hawa Kuku waliwe b4 new year
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tough indeed man...Our next 6 matches ni make or break
Tuna Leicester, wolves, totts, Sheffield, manure, wolves again
Very tough ride
Pamoja Sana ndugu...Nikupe taarifa tu origi ameongeza mkataba mwaka jana wa miaka minne.
Nadhan tumeelewana asistant coach wa klopp
Sent using Jamii Forums mobile app
Every team needs squad and updating the value of their playersNikupe taarifa tu origi ameongeza mkataba mwaka jana wa miaka minne.
Nadhan tumeelewana asistant coach wa klopp
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaenda gym mkuuKiuhalisia kwasasa hakuna shabiki anaenenepa kwa furaha kama shabiki wa Liverpool maana sasa zamu yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Alisikika mlevi mmoja akiropokwa baada ya kulewa k vant za bure huko.moshiHey, unbeaten fuvken club its time to drop point this round
Camooon foxes this week ,hawa Kuku waliwe b4 new year
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Taja mchezaji anayechukiwaHumu kuna watu wengi wajingawajinga tu, msinichukulie vibaya ila Hamuheshim wachezaji wenu
Unakuta lijitu linamchukia mchezaji wa timu wake bila sababu yoyote au sababu za kijingakijinga
Mpaka unajiuliza ivi inaakili kweli
Sent from my iPhone using JamiiForums