Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii game ya Leicester City inanipa headache sana.
Wakati ameshafungwa na Man City atapambana sana ili asipoteze Back to Back

Nadhani hii game vijana watataka kuweka statement kwamba "it is only us".

Binafsi kile kiwango dhidi ya City kwenye EPL kilikuwa very exceptional, Leicester as another team thought to be a contender (hypothetically) will be approached with aggressiveness. So expect a win with good performance.
 

Le Capitaine Hendo,May ananyanyua kwapa na anakuwa captain wa kwanza ktk Liverpool modern football kuchukua kila kitu.
We love you Hendo,tupe EPL.
 
Jingaaaaa
 
Sawa
Lingine?
Hilo hilo tu Mkuu, achana na hizo kelele tumeshakubaliana kwamba tuwaheshimu wachezaji wote. Sasa wewe kila siku unashusha nyuzi za Hendo kana kwamba unafurahia kukwaza watu hapa jukwaani! Ujue mkuu huwa kuna jini la fitina, ambalo likiona mahali pa na furaha linajichomeka katikati ili kuvuruga furaha, sasa naona limekukalia ndio maana kila wakati unashusha hayo mashudu yako!
 
Proper xma... For real
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii game ya Leicester City inanipa headache sana.
Wakati ameshafungwa na Man City atapambana sana ili asipoteze Back to Back

Na timu inayopambana sana kwetu ndio powa meaning hawatakaa kutusubiri tuwafuate..

It's will be an open game..

Ushindi upo..

Winning is like dope man if u win and win you become addicted..

Winning at Doha will push the boys to keep believing huu msimu upo mikononi mwetu..

Game Kwangu naona imekaa kimtego ni ya Wolverhampton lol wale jamaa hua ni usumbufu tosha..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…