Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Contribution ya Divok Origi kwenye mashindano na mechi muhimu kwa Liverpool wewe huiioni?
Focus ya meneja kwa Sasa ni kuongeza idara ya ulinzi hasa baada ya team kukumbwa na majeruhi( matip,Gabby,lovren na juzi vvd ( kuugua) ikapelekea akunje mikono nyuma ya mgongo.
 
Hahaha duuh Mkuu King hivi husisimki ukiwataja hao wachezaji uchwara Wa enzi hizo maana tulipotea haswaaa imagine unamuuza Surez jembe unaleta Lambert na Super Mario man that was us in the darkest period...

Kwangu Lallana, Hendo, Origi are just damn lucky to still be here and rubbing shoulders with the like of VVD, Allison, Mane, Fabby nk maana ni wachezaji Wa kawaida mno tena mno.. But for Klopp he has found a way of mixing the team and get the best of this boys regardless of their different levels...

With Klopp now here to 2024 am sure we will be seeing more upgrade to what we currently have..

And also we have to plan for life without some of our super stars wakiumua to search for new challenges.. Hatuwezi kuwategemea akina Lallana, Origi, Chamberlain, Shaqir...

Klopp wasn't brought to manage mediocre players ndio maana mdogo mdogo amekua akiuza au kuwaacha bure na kununua viwango anavyohitaji..

In Klopp we trust...
 
View attachment 1300548

ILIMCHUKUA FERGIE DECADE 3 KUITOA LIVERPOOL KWENYE PERCH YAO😎😎😎 THEN CANE THE NAZI BASTARD......WE AR BACK ON OUR PERCH....ALLEZ LES ROGUES
He had a score to settle that why he so into us.... But slowly we are reclaiming our lost top spot club in UK... Next available sweet trophy ni EPL
 
this has been one of the truly best weekends if you're a LFC supporter:

1. Crowned world champs
2. Maintain a 10-point gap at the top of EPL without kicking a ball
3. Manure gets beaten
4. Mourinho gets beaten

what more could a LFC fan have asked for as a Christmas present?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…