Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Dah nimejibu hivyo kabla sijaona hapa nikiongezea au wampe japo under 23 iimarike kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vile sijui football management, ila kiukweli naona ni kama tutarudi nyuma kiasi.
Labda kama Gerrard angekuja kukaa na Klopp kwa angalau miaka 2. Ili kama ana retain team iwe team anayoifahamu.
Ngoja tuone itakuwaje.
WameshakufaaaLeo mzee kaswitch kwenye 4231.
Milner leo anampumzisha kidogo robbo. big Shaq naye kaanza.View attachment 1292168
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
The same to my thought man..The way i respect and like SG i don want one day to do the opposite.For him to be the head coach after Klopp for this great liverpool club it is more likely that to happen.SG bado ana safari ndefu ya kuwa kocha, guess yangu hata kweli wakimpa timu after Klopp muda wowote itamuwia vigumu sana sababu tutakuwa tunataka viwango vile vile vya Klopp
Muamsheni King Ngwaba jamani, mechi ni saa tisa na nusu saa za Afrika Mashariki, sio aje ashtuke Salah kaondoka na mpira Mane katumbukiza 2 na wengine wameongezea 7 akaona 7 bila aanze kushangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaMuamsheni King Ngwaba jamani, mechi ni saa tisa na nusu saa za Afrika Mashariki, sio aje ashtuke Salah kaondoka na mpira Mane katumbukiza 2 na wengine wameongezea 7 akaona 7 bila aanze kushangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
shabiki wa arsenal jauHawa liVARpool wanapigika vizur tu, tulieni Watford msiwe na papara mkifika golin, zipo kama 3 hapo wazi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app