Jk Leo atupangie kikosi hiki tusilaze damu maana wale watoto wana tabia mbaya sana:-
Alison
TAA. GOmez VVD. Robo
Milner. Hendo. Ox.
Salah. Firmino. Mane.
Sub.
Adrian
Lovren
Gini
Keita
Shaq
Jones
Origi
#YNWA.
Jk Leo atupangie kikosi hiki tusilaze damu maana wale watoto wana tabia mbaya sana:-
Alison
TAA. GOmez VVD. Robo
Milner. Hendo. Ox.
Salah. Firmino. Mane.
Sub.
Adrian
Lovren
Gini
Keita
Shaq
Jones
Origi
#YNWA.
Umetisha mzee baba naona ndo maana kamuanzisha Gini na keita wanaweza saidia ila sasa wakianza kuja hawa watu kama mvua maana wapo kwao na wanauchu kuweka historia usishangae akatoka mmoja wapo akawekwa Gomez ama milner awapige pige viatu watulie pale kati bado tunamiss huduma ya fabby na hayupo ila kwa pamoja tutashinda ..Mimi naona katikati iwe keita, wajnadum na ox. Hawa vijana ni wepesi wanahitaji viungo wepesi wenye unyumbulifu
Wew kiazi wa ikwirir kabangue korosho ulale kijanaH
Hatutaki ushauri wako
Hiki hapa Cha leoView attachment 1287957
YNWA
Hiki hapa Cha leoView attachment 1287957
YNWA
Lovren kashapona kumbe... Binafsi ningependa aanze Gomez maana hivi vijamaa ni vyepesi mno..
Teh tehSasa hivi Liverpool hata nikianza mimi tunashinda.
Msiwaze