[emoji23] [emoji23][emoji23] leo mimi game yangu ipo Etihad
Hii ya Liverpool naihesabu ni mazoezi tu
Yaani anaweza kuandika kitu ambacho ninatofautiana naye, shida ikawa jinsi gani naunda hoja, supporting evidences, technical analysis na mengine kibao. Mwisho wa siku nakuwa mpole.
Man Utd ajitahidi atoe draw, ingawa ni kitu cha ajabu kutokea.
Sasa ukute mjadala wa MosDef na Captain Marvellous, hawa washenzi wahedi na vingereza vyao wanavyochanganya kwenye mijadala lazima upate neno jipya la kujidai nalo huko whatsap groups, ni vile tu nimeacha kupiga mazongo, ila ningewarushia mazongo waharishe mpaka wazimie kwa wivu nilionao dhidi yao jinsi wanavyochambua mpira, huyu mpuuzi King Ngwaba ni jeshi la mtu mmoja, wakija wapuuzi na hoja zao uchwara lazima awapumzishe kwa nock out ya mapweinti yaliyoenda shule, ona tajiri alivyonywea na yule mwenzake Liverpool Halisi [emoji41]
AisehKing Ngwaba ni shida nyingine, hachelewi kumwaga statistics lundo kwenye ubishi mdogo.
Hapo mbishani anabaki kusema "ooh, unajifanya unajua".
Ila Liverpool Halisi ni kichwa ngumu ile, haiwezekani.
Aiseh
Sasa ukute mjadala wa MosDef na Captain Marvellous, hawa washenzi wahedi na vingereza vyao wanavyochanganya kwenye mijadala lazima upate neno jipya la kujidai nalo huko whatsap groups, ni vile tu nimeacha kupiga mazongo, ila ningewarushia mazongo waharishe mpaka wazimie kwa wivu nilionao dhidi yao jinsi wanavyochambua mpira, huyu mpuuzi King Ngwaba ni jeshi la mtu mmoja, wakija wapuuzi na hoja zao uchwara lazima awapumzishe kwa nock out ya mapweinti yaliyoenda shule, ona tajiri alivyonywea na yule mwenzake Liverpool Halisi [emoji41]
Mkuu safari njema ufike salama...Dah, naondoka Dar saa 8 mchana huu kuelekea Dodoma, nasikitika sitaona live mechi,
Aiseeh kumbe unakuwaga mpole hivi....safi sana,Mimi sina tatizo na Mtu yeyote humu kimtazamo na kifacts.
Ila nakuaga na matatizo na wale ambao wanasubiri Mtu apost kitu then wanarukia kumpinga.
Unaweza ukachallenge mawazo ya Mtu bila ya Kumpinga! Au haiwezekani?
Kwa mfano umeona mtu kapost kitu hakiendani na Mtazamo wako! Basi wewe usikimbilie kumquote kwa kumpinga, Bali andaa post yako then ipost hapa! Sisi tutaisoma na kuangalia facts kama Luna challenge ndani Yake si tutakuquote!!! Hapo utakuwa umewajibu watu wengi kwa wakati mmoja.
Lakini wewe kiongozi hupost kitu bali unasubiri Mtu ameandika maoni yake then unakuja kumpinga! Sio fair brother.
Halafu ukisema mimi najiona kiwa kila ninachopost najiona nipo sawa basi unakusea.
Hebu pitia post zangu humu au uliza wazoefu humu wakwambie sifa zangu.
Kwanza mimi ni katika watu ambae Mara chache sana humu tunaquote post za watu.
Mara nyingi huwa naandika post zangu mwenyewe kwasababu naamini Kuwa kila Mtu ana haki ya kuchangia humu.
Tajiri wa nini?Wewe ni wa ajabu sana ingawa ni Tajiri.
Pakua kitu kinaitwa Burma TV, utacheck game live mpaka uchoke mwenyewe!Dah, naondoka Dar saa 8 mchana huu kuelekea Dodoma, nasikitika sitaona live mechi,
Pakua kitu kinaitwa Burma TV, utacheck game live mpaka uchoke mwenyewe!
Mkuu safari njema ufike salama...
King Ngwaba ni shida nyingine, hachelewi kumwaga statistics lundo kwenye ubishi mdogo.
Hapo mbishani anabaki kusema "ooh, unajifanya unajua".
Ila Liverpool Halisi ni kichwa ngumu ile, haiwezekani.
Na huyu jamaa yetu Ladder 49 kwa picha tu anastahili tuzo, anaturahisishia sana,
Babu Asprin bado analewa mikonyagi tangu Liverpool amfunge Manshiti, hajui hata kama tulishacheza na game nyingine baada ya ile ya Manshiti na wala hajui kama leo tena tunaongeza mzigo wa fimbo kupunguza Goal difference
Thanks mkuu, thou itategemea na stability ya network njiani
Mbona kishindo cha awamu ya 5 wanasemaga barabara yote toka Dar mpaka Dom ni 4G? Kazi kweli kweli!Ukishatoka Morogoro mjini Hakuna tena Network ya 3G mpaka kufika Gairo.
Na ukitoka Gairo tu basi 3G unakuja kuipata Stand ya Nanenane Dodoma.
So ni Vigumu sana Kustream online kwa leo.
Mimi sina tatizo na Mtu yeyote humu kimtazamo na kifacts.