Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Shaqiri ameongeza ubunifu hapo kati hatari hasa baada ya Lallana kutolewa timu ikanoga sana.

Gini akasogezwa mbele kidgo mpaka amefunga

Nafikir klopp azidi kuzichanga karata zake vizuri rotation huenda ikaongeza uhatari kwa wapinzani.
 
Naona partnership ya gini na shaq itakua poa sana kwenye kiungo cha mbele huku Henderson na Milner kwenye holding
 
Shaqiri ameongeza ubunifu hapo kati hatari hasa baada ya Lallana kutolewa timu ikanoga sana.

Gini akasogezwa mbele kidgo mpaka amefunga

Nafikir klopp azidi kuzichanga karata zake vizuri rotation huenda ikaongeza uhatari kwa wapinzani.
Score ingesoma 7 lakini naona Mane kipindi cha pili hakutulia kumalizia zile nafasi 2 adimu...

Kiatu cha mfungaji bora itapendeza zaidi akikimbakisha..

It's just one of those nights for soon to be Africa Player of the year...

nwa fingers crossed 3 points won whats a way to start this busy December so far so good...
 
Pass za hendo zile mbili
na kuna pass ya shaq angepambana lingetokea jambo

Kwa mbaali naona klopp akilitaka uefa pia hii rotation kwa ajili ya uefa.

vs b'mouth itapigwa rotation nyingine
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…