Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Robbo is playing with knock man that boy is just outstanding...May iko mbali sana
Kunaumuhimu wa kusajili January
, forward mzuri hata mmoja ninawasiwasi na injury sana au hata beki wa kumpuzisha ROBO ikiwezekana
If VVD can't win this bana am at peace Messi akipata... He is just awesome..
Huyu aliwakataa mkahamia Kwa Kepa hivyo huwezi kua na mahaba nae..Uyu katoka kuwa kipa bora hadi kubeba red kadi ..amna kitu pale..
If VVD can't win this bana am at peace Messi akipata... He is just awesome..
I just hope VVD akikosa haita affect au kumyumbisha performance yake uwanjani.. We need him solid as ever..
Ile "Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]"Ha ha ha!
Vipi hapo chini hujamalizia na ile kauli mbiu yako ya kuisifu Chelsea.
Allison hii red kali itampotezea nafasi ya kubeba golden glovz[emoji41][emoji41]Huyu aliwakataa mkahamia Kwa Kepa hivyo huwezi kua na mahaba nae..
Mimi na wewe tuna uadui????Hii discussion ya wanafamilia haikuhusu, adui hawezi kukuchagulia watu wa kupeleka vitani.
TrueHawa Egypt wanataka kumchukua Salah kibiashara tu kwasababu watu wataingia uwanjani kumuangalia Salah na wala si Misri.
Wewe una shida aiseeeh,eti sabato nini???Hivyo Dully kumbe ni Sabato masalia? Mimi nikawa nafikri najibizana na shabiki mwenzangu wa Liverpool? Ha ha haaaa,, bora umelifurumusha!
Mimi na wewe tuna uadui????
Naona unautaka uadui mkuu,utaupata ngoja tukae sawa kwanzaSasa Arsenal Halisi na Liverpool ni marafiki?
Unai huyu huyu....????huyu huyu.....????
Kafanya nini kumzidi Messi?Vvd amefanya vizuri sana msimu uliopita kumzidi messi,sema ndio hivyo mtu messi anapewa kutokana misimu mingine na sio msimu uliopita.
Kupewa vvd pia itammotivate kupambana.
Naona unautaka uadui mkuu,utaupata ngoja tukae sawa kwanza
Kwa mwaka huu sioni akipata endapo ataedelea kufungwo hivi...Allison hii red kali itampotezea nafasi ya kubeba golden glovz[emoji41][emoji41]
Kafanya nini kumzidi Messi?