Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
November
Saturday 2
Aston Villa 1 - 2 Liverpool
Sanday 10
Liverpool 3 – 1 Manchester City
Saturday 23
Crystal Palace 1 - 2 Liverpool
Saturday 30
Liverpool – Brighton and Hove Albion
Klopp atachukua tena manager of the month November
Ndio mtazamo Wa washindani wetu.. Baada ya kushindwa kutushusha kileleni sasa wamehamia kwenye VAR...Sawa.
Na VAR zìko upande wenu tu dhidi ya mnaocheza nao.
Naona Ganaz watakua wanatafuta mridhi Wa Unai kimya kimya kama wahasimu wao Spurs,Hahahahhah, kwa hali ile kweli lazima ujipige ban
Anastahili Sana tuKlopp atachukua tena manager of the month November
Hahaha hakika hao mashabiki wa Manu walinywea Sana baada ya Bobby kufunga la mbili..Kwenye maisha yangu ya kuishabikia Liverpool, hakujawahi kuwepo kipindi cha furaha kuzidi hiki.
Jana niliangalia game na washabiki kadhaa wa Man United, goli lilivyorudi wakazomea sana. Halafu mimi nikawaambia siyo mara moja wala mbili tumeshinda game dakika kama hizi. Hivyo hata hii tutashinda.
Na tukashinda kweli. I wish watu wote wangejua utamu wa kuishabikia Liverpool wakajiunga.
Hahaha hakika hao mashabiki wa Manu walinywea Sana baada ya Bobby kufunga la mbili..
Klopp kashawaambia the boys wao wacheze mpira wao wawe wavumilivu nafasi za kufunga zitapatikana tu hata dakika za majeruhi..
Jana Bobby alijua fika kwenye ile kona mpira utazama hilo linahitaji utulivu Sana kufunga goli kati ya msitu Wa wachezaji wale..
Ni raha tuuu kua upande wa Majogoo na pazuri ni pale home and away EPL we are rocking...
Kama ni mashabiki wa Manu tangu enzi wanaelewa pia Fergie alikua hakati tamaa mpaka dakika ya mwisho hivyo Kwa huu mpira Wa Liverpool sasa wana kila sababu ya kununa maana ni ishara ya timu au wachezaji walio komaa na kujielewa zaidi na wenye uchu na Kombe la EPL..Niliwauliza swali, kwamba ni mara ngapi Liverpool kapata goli dakika kama hizi akilihitaji?
Na kama ni mara nyingi, leo ina tofauti gani?
Ndani ya dakika moja tukapata kona, then goli. Watu kimyaaa.
Iyo atabeba Lampard wewe..Klopp atachukua tena manager of the month November
Pole sana kwa kipigo jana MkuuIyo atabeba Lampard wewe..
Unaumwa weweIyo atabeba Lampard wewe..
Pole sana kwa kipigo jana Mkuu
Vipi kwenye mechi vs man u? au kwenye mechi vs Aston villa?Liver kila mechi var ziko upande wao. Haijalishi kwenye kuwapa uwezo wa kufunga au kuwanyima wapinzani wasifunge eidha kukataa goli lao au kuwanyima penati.
Maagizo ya malkia hayo.
we jamaa watu wanakutafuta kule kwenu halafu umejificha huku au ndio umeomba hifadhi ya kishabiki hukuIyo atabeba Lampard wewe..
Lampard aliyepigwa na CTY?Iyo atabeba Lampard wewe..