Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu hebu nisaidie Kwani wew ni fan wa timu gani pale England ili nije na suluhisho
 
Liver kila mechi var ziko upande wao. Haijalishi kwenye kuwapa uwezo wa kufunga au kuwanyima wapinzani wasifunge eidha kukataa goli lao au kuwanyima penati.
Maagizo ya malkia hayo.
Malkia sio shabiki wa majogoo..

Hii VAR ni msumeno ndugu Kwa sasa upepo Wa ushindi upo kwetu hivyo wapinzani watasema mengi..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…