Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Hendo ni Defensive Midfielder????
Ulikuwa ukiangalia Mpira kabla ya kuja Klopp Liverpool??

Kabla ya Klopp Hendo hakuwahi Kuwa Defensive Mid katika career Yake yote!
Ni Lucas ndiye aliyempokea Mascerano kucheza DM.

Baada ya kuja Klopp ambapo tayari Lucas alishapoteza uwezo ndiyo Klopp akawa anamchezesha Henderson kwenye hiyo DM ambaye siyo natural position Yake.

Klopp alipopata DM (Fabinho) akamrudisha Henderson kwenye Natural position Yake.

Kwahiyo Henderson siyo DM kama unavyosema! Ni sawa na kusema Milner ni Left Back kwasababu tu alicheza msimu mzima wa 2016/17 kama Left Back.
 
Kwanini Tunapocheza Game na ikawa tayari imeshatushinda (Mfano Manure & Villa) Klopp anawaingiza OX na Keita kulazimisha kupata Matokeo?

Kama hawa anawaingiza kwa ajili ya kutafuta Matokeo pale inapoonekana tayari imeshindikana kupata Matokeo, Kwanini hawaanzishi Mwanzo?

Je, Kumbe Klopp anajua kuwa OX na Keita wanaweza kutupatia Matokeo from nowhere?

Je, Klopp anajua kuwa mido ya Gini-Hendo haina uwezo wa kutupatia Matokeo kwenye tight game?

Hivi ndiyo ataendelea kutafuta Matokeo dakika ya 80+ kwenye tight game kwa kuwaingiza OX na Keita badala ya kuwaingiza mwanzoni mwa Mchezo?

Mwenye uwelewa wa hayo maswali hebu namimi anieleweshe.
 

Hendo hawezi kucheza CAM maana hana uwezo huo
Hendo kwa anavyocheza ni katikati ya hzo mbili
Binadam wanabadirika kutokana na kikosi na ata Bale alikuwaga beki zaman
 
Huyu Sadio Mane tumuache tu kwa kweli, wala hatakiwi kuwa na asili ya Africa
 

Ukicheza sehem ukaona ni better kuriko uliokuwa unacheza kabla, yes, unapata position mpya in football
Klop mwenyewe kaadmit hayuko vzr kwenye kucheza kama Attacking na anamuweka ili kuziba gaps ambazo angewachezesha wengine zingekuepo
Simkubali kwa kiwango na hana talent
Ila msaada wake nae upo
Though ningeprefer namba yake acheze chambering
 

Kuna hii kitu kwenye mpira
You ague kwasababu unataka kila mtu awe kama flan
Patia picha kwanzia midfielders wote wangekuwa messi in everything, do you think wangeshinda???
Kushinda kunahitaji team work na team work kila mtu anamajukum japo unaweza usiyaone ww, jana nimeangalia mechi, na mostly nilikuwa nafocus kwa hendo, chambering na Keita
Sa ukija ukasema hendo anacheza kama CAM nakushangaa sana, though hatuna hyo namba kimfumo sasa, ila CM wetu wote wale wawili tukiwa tunashambulia wanabadirika na kuwa attacking midfielders, ila hendo anabaki nyuma mda wote na hawa wengine wako mbele, kupanda kwake ni mara chache mara nyingi anakuwa upande wa TAA uku, tatizo mnaongea nyie kwa kuangalia mpira unapoenda tuu

Ok letsay akabadirishwa asicheze, hapo pia kuna mawili, kuna vitu tutavikosa, kuna vitu tataviongeza,
Ndo maana Klop ni mjanja anamuingiza chambering na keita wakati tim nzima inashambulia
Ni wazi mbelen Ox atapata namba ya kudum, ni sahv tu anamuonjesha kidogo kidogo ila namba yake ipo, ilikuwa hvyo kabla hajaumia na itakuwa hvyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…