OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Uyu Sadio Mane anatumikishwa tu apo Liverpool ..kwa kiwango chake awezi lipwa iyo ela.
Anfield ndo itawafunga arsenal leoKlopp anataka kutuuuaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 1249360
Fresh tu wajomba wapige kazi, wale wapumzikeKlopp anataka kutuuuaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 1249360
Niwe mkweli, nimeanza kuishabikia Liverpool kwasababu ya huyo jamaa baada ya kumuona World Cup 2002, hapo nilishamaliza form 6 nasubiri ku join chuo ndo nikaanza kufuatilia mpira wa Ulaya
Hiyo ndio faida ya kukataa kufanya usajili.Safu ya ulinzi leo, dah, [emoji3]
Tunavunjiwa rekodi yetu ya unbeaten anfield kisengesenge!!