Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kwa maslahi ya timu abaki. Hakuna kumpisha timu, team ni kubwa kuliko mchezaji yeyote yule. In the mean time tunamhitaji Milner zaidi kuliko Grujic.
Yaan huyo anaona akikaa kimya akawa msomaji tu anaonekana boya so anaona aandike hata shudu humu wakati hata hatumjuiSasa masuala ya 'Timu ni Kubwa Kuliko Mchezaji' Yameingiaje hapa? Watu wengine bhana! Alimradi waambiwe wamechangia Thread
Yaan huyo anaona akikaa kimya akawa msomaji tu anaonekana boya so anaona aandike hata shudu humu wakati hata hatumjui
inabidi mtuvumilie hivyo hivyo japo tuna wakwaza labda pengine wakati nyie mnasakamwa kuwa mnasapoti timu ambayo ni trophy less sisi wengine hatukuwa na access ya jamii forumYani nashangaa sana sikuhizi!
Hapa tulipokuwa tunachekwa na Washabiki wa Timu nyengine kuwa tuna Zero Trophy, tulikuwa pekeyetu tunapeana challenge na Malafyale!
Lakini tangia tubebe UCL kumeibuka Washabiki wa Kiajabuajabu wa Liverpool from nowhere wanaoweza hata kupingana na kaka yetu MosDef wakati sisi sote humu hatuthubutu hata kumquote MosDef bali tunaishia Kumpa Like tu.
Yani hata hujui Wanaandika nini! Wanapinga nini! Wanakataa nini! Wanakubali nini! Wao wapowapo tu!!!!!
Draw leo na totenham hotspurs
Sasa masuala ya 'Timu ni Kubwa Kuliko Mchezaji' Yameingiaje hapa? Watu wengine bhana! Alimradi waambiwe wamechangia Thread
Yaan huyo anaona akikaa kimya akawa msomaji tu anaonekana boya so anaona aandike hata shudu humu wakati hata hatumjui
Yani nashangaa sana sikuhizi!
Hapa tulipokuwa tunachekwa na Washabiki wa Timu nyengine kuwa tuna Zero Trophy, tulikuwa pekeyetu tunapeana challenge na Malafyale!
Lakini tangia tubebe UCL kumeibuka Washabiki wa Kiajabuajabu wa Liverpool from nowhere wanaoweza hata kupingana na kaka yetu MosDef wakati sisi sote humu hatuthubutu hata kumquote MosDef bali tunaishia Kumpa Like tu.
Yani hata hujui Wanaandika nini! Wanapinga nini! Wanakataa nini! Wanakubali nini! Wao wapowapo tu!!!!!
inabidi mtuvumilie hivyo hivyo japo tuna wakwaza labda pengine wakati nyie mnasakamwa kuwa mnasapoti timu ambayo ni trophy less sisi wengine hatukuwa na access ya jamii forum
Hahahaaaaaa nimecheka sana .....ila ndio kawaida mkuu timu kupata mashabiki wapya kipindi cha mafanikio hasa kipindi hiki cha KISULISULI WIND kwahiyo mujifunze kuwavumilia maana huu upepo unachukua mpaka makapi kwahiyo mjipange kisaikolojia.Ingawa hawahawa wanaokuja sasa nao wapo ambao watakuwa mashabiki wazuri wa Liverpool,inawezekana ukawa ni ugeni tu unawasumbua hawajajua taratibu za hapa,so muwavumilie watakaa kwenye mstari mtakuja ongea lugha moja....Yani nashangaa sana sikuhizi!
Hapa tulipokuwa tunachekwa na Washabiki wa Timu nyengine kuwa tuna Zero Trophy, tulikuwa pekeyetu tunapeana challenge na Malafyale!
Lakini tangia tubebe UCL kumeibuka Washabiki wa Kiajabuajabu wa Liverpool from nowhere wanaoweza hata kupingana na kaka yetu MosDef wakati sisi sote humu hatuthubutu hata kumquote MosDef bali tunaishia Kumpa Like tu.
Yani hata hujui Wanaandika nini! Wanapinga nini! Wanakataa nini! Wanakubali nini! Wao wapowapo tu!!!!!
Umenena mkuuMvumilie tu mkuu, maneno yake hayaondoe ukweli kwamba Henderson na wanatakiwa kuondolewa liverpool tena bure, hatutaki fees yoyote ile
Hahahaaaaaa nimecheka sana .....ila ndio kawaida mkuu timu kupata mashabiki wapya kipindi cha mafanikio hasa kipindi hiki cha KISULISULI WIND kwahiyo mujifunze kuwavumilia maana huu upepo unachukua mpaka makapi kwahiyo mjipange kisaikolojia.Ingawa hawahawa wanaokuja sasa nao wapo ambao watakuwa mashabiki wazuri wa Liverpool,inawezekana ukawa ni ugeni tu unawasumbua hawajajua taratibu za hapa,so muwavumilie watakaa kwenye mstari mtakuja ongea lugha moja....
Mashabiki wa kweli hujulikana mkuu,binafsi katika hizi nyuzi maarufu sio mgeni,nawatambua MAMBA na KENGE katika nyuzi mbalimbali,na hawa wafuata mkumbo wa matokeo(KENGE) ndio wanaowadhalilisha mpaka huko katika nyuzi za jirani...kwa kucomment shudu ambazo sio tamaduni ya hapa.....
Unakuta mtu anachangia shudu alafu anajitamba yeye ni shabiki wa Liverpool hahaha huwaga nikifikiria mashabiki wa liver ninaowajua huwaga nacheka sana.....
Big up mashabiki wa kweli wa Liverpool mnaokuwepo hapa katika vipindi vyote vya masika na kiangazi mkiongozwa na mLIVERPOOL HALISIA
NANI HAYAJUI MAJOGOO?????
Hivi na ID yangu ya mwaka 2018 mlitaka nije kucomment mwaka 2016?
mimi Manchester cityWewe shabiki wa manure itakusaidia nn, mwanga mkubwa ww
Kuna watetezi wa Hendo humu balaa. Yaani yule skipper wetu hana cha ziada. Hajui kupress wala nini, back pass na sideway nyingiiiiimid iwe faby keita ox ituprove wrong ili akiwekwa kepitein tuseme ehh wale walishindwa",.
mtu anamtetea hendo ila kila timu inapozidiwa hutolewa yeye imagine milner at 34' anaingizwa anaonekana nafuu...
Bora angebaki Joe Allen kuliko Hendo. Na kuliko abaki hendo lallana aondoke iwe vice verser tu.