Roho hua inaniuma sana huyu jamaa akipigwa benchi afuu mtu kama hendo ndo et kampiga benchi .On my point of view keita naona ni kama man of the match labda kama nilikuwa namuangalia sana yeye kwakuwa ndiye mchezaji ambaye ambaye naona anakipaji cha kuzaliwa kwa liver . Kuna kujituma na kujua . Keita born knows
Hahaha imekaa powa sana kaka...Ila bro ukweli huwa kabla ya mechi natamba sana mtaani akianza keita mmekufa, nikifika hayupo nanyong'onyea jamaa anajua sanaa . Yaani waanze hapo kati keita mbele , fab kati na chembs kama leo , siwazi beki ni nani hata wamrudishe sakho na sissoko wale mafala wa 2013/14 poa tu najua tunashinda .
Hahaha hapana sisi tu naona hafungi na mara nyingi mpira unapotelea kwake pale mbele...Ndo tunavyomuona sisi lakiniView attachment 1242611
kaupiga sana DecoKeita kakichafua
Klopp anamng'ang'ania Lovren sababu wanasema anakipaji cha uongozi etiKeita ishu sio kipaji ni kama gari ya dizeli fulani inamchukua dakika zaidi ya 50 kuingia rasmi mchezoni...
All in all I salute him amemaliza mchezo akiwa vizuri na kacheza dakika 90+.. Yajayo yanafurahisha
Shinda yangu ni Lovren yaaani huyu sijui auzwe wapi..
Salah haja click great to see him score pengine sasa atarudisha makali...
Useless Lovren...Klopp anamng'ang'ania Lovren sababu wanasema anakipaji cha uongozi eti
Kaka salama... VAR utaipenda tu siku inakugharimu siku inakupa kicheko cha mwisho...Bado mnaendelea kubebwa na VAR sijaona sababu goli la Samatta kukataliwa.
4-2Bado mnaendelea kubebwa na VAR sijaona sababu goli la Samatta kukataliwa.
Bado mnaendelea kubebwa na VAR sijaona sababu goli la Samatta kukataliwa.
Naona nyie ndio mmefaidika nayo zaidiKaka salama... VAR utaipenda tu siku inakugharimu siku inakupa kicheko cha mwisho...
Haya ni 2-4 mkuuBado mnaendelea kubebwa na VAR sijaona sababu goli la Samatta kukataliwa.
Bado mnaendelea kubebwa na VAR sijaona sababu goli la Samatta kukataliwa.
Kuna game our front three huwa wanabanwa, kuna time matumaini na matarajio tunayapeleka kwa middle zetu zifanye mambo, thanx Ox for your brace tena nje ya 18
Hapana hata Gini anajua sana aiseekaupiga sana Deco
Gini atupishie Huyu MGuinea wetu