Ndio kama unavyoonaNakumbusha tu ile creative midifield inayoliliwaga hapa Imeanza Leo
Same old same old Lovren lol guess this apple head will never change...Lovren [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Alifunga goli na timu gani?
Same old same old Lovren lol guess this apple head will never change...
Keita ishu sio kipaji ni kama gari ya dizeli fulani inamchukua dakika zaidi ya 50 kuingia rasmi mchezoni...Ndio kama unavyoona
Chamberlain katupia mawili , Keita anakichafua humo ndani, Wijnaldum hana kipaji cha kumfikia uwezo Naby Keita Garasa Hendo ndio kabisa hana hadhi ya kuchezea hata midtable teams of EPL
Hahahaha Lovren bana ni kama dollar muda wowote unacheka na muda wowote atakuliza...Niliwaambia watu hapa ninapocheck wakati game mwanzoni kabisa huyu Lovren muda wowote anaweza akakinukisha ,dah alivyokinukisha jamaa wananiona nabii kube ni matunda ya chambuzi za humu [emoji3][emoji3]
Boy has class... This is what means to have a balanced squad... When the front three ain't scoring the mids raise to the occasion.. Hendo should be a worried manOxiiiiii [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji7]
Ila bro ukweli huwa kabla ya mechi natamba sana mtaani akianza keita mmekufa, nikifika hayupo nanyong'onyea jamaa anajua sanaa . Yaani waanze hapo kati keita mbele , fab kati na chembs kama leo , siwazi beki ni nani hata wamrudishe sakho na sissoko wale mafala wa 2013/14 poa tu najua tunashinda .Keita ishu sio kipaji ni kama gari ya dizeli fulani inamchukua dakika zaidi ya 50 kuingia rasmi mchezoni...
All in all I salute him amemaliza mchezo akiwa vizuri na kacheza dakika 90+.. Yajayo yanafurahisha
Shinda yangu ni Lovren yaaani huyu sijui auzwe wapi..
Salah haja click great to see him score pengine sasa atarudisha makali...
Kabisa kabisa kabisa huwa najidahi na Keita halafu wala haanzishwi inaniumaga sanaIla bro ukweli huwa kabla ya mechi natamba sana mtaani akianza keita mmekufa, nikifika hayupo nanyong'onyea jamaa anajua sanaa . Yaani waanze hapo kati keita mbele , fab kati na chembs kama leo , siwazi beki ni nani hata wamrudishe sakho na sissoko wale mafala wa 2013/14 poa tu najua tunashinda .
Ndo tunavyomuona sisi lakiniKeita ishu sio kipaji ni kama gari ya dizeli fulani inamchukua dakika zaidi ya 50 kuingia rasmi mchezoni...
All in all I salute him amemaliza mchezo akiwa vizuri na kacheza dakika 90+.. Yajayo yanafurahisha
Shinda yangu ni Lovren yaaani huyu sijui auzwe wapi..
Salah haja click great to see him score pengine sasa atarudisha makali...
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Wenzio tunapo kaa na kuangalia mpira ww huwa muda mwingi unaweza kwenda kwenda kujificha chooni tu kuvuta bange, ndo athari zake hizo
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]